Tanzania ya viwanda, hongereni

Dah mkuu wa wilaya kashika ukuni anauangalia, vitu vingine bhana...

Hehehe!! Hapo najaribu kuwaza vipi mkewe anamuona live yaani na watoto wanaona baba anachonadi....
 
Sio kweli hamna kiwanda hicho,ilikuwa kwenye maonyesho ya kuhusu mambo ya HIV/AIDS ndio alipita kwenye hilo banda.Kwa sababu waandishi huwa wanapenda kuchukua picha za mtu mkubwa ndio ikawa hivyo.
 
Hehehe!! Hapo najaribu kuwaza vipi mkewe anamuona live yaani na watoto wanaona baba anachonadi....
Vp corazon anaendeleaje na yule mtaliano
Wataliano watu wabaya sana lkn

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…