shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
napenda sana hii biashara but sjajua inahitaji mtaji wa bei gani...........
msaada broo....... Orodha ya vifaa vifaa vinavyo hitajika....!
Mtaji inategemea unataka kuanzaje. Unaweza anza kwa kuprint kwa mkono yaani Screen printing, hapa unatengrneza screen zako kadhaa pamoja na design zako then unaprint. Au kama una mtaji mkubwa kuna machine ya kuprint hii inatoa mfano zile T-shirt za misiba n.k . Kuna kozi miezi miwili VETA ukijifunza kwanza itakuwa bora zaidi. Maduka maarufu ya vifaa hivi yapo opposite na sheli ya bigbon kariakoo. Ni vyema ukijifunza kwanza.Hata mimi naipenda Sana hii biashara
mkuu mi nilijifunza hiyo kitu muda si mrefu na nimeshaanza kuifanyia kazi, ambacho sijaweza vizuri ni kutegeneza screen zangu mwenyewe, yaani napokea order then nampa mtu ananitengenezea screen then naprint, ningependa kujua kama una namba za simu za hayo maduka, yanayouza vifaa vya screen, rangi na maduka yanauza t shirt mbalimbali nitafurahi, mi niko mkoaniMtaji inategemea unataka kuanzaje. Unaweza anza kwa kuprint kwa mkono yaani Screen printing, hapa unatengrneza screen zako kadhaa pamoja na design zako then unaprint. Au kama una mtaji mkubwa kuna machine ya kuprint hii inatoa mfano zile T-shirt za misiba n.k . Kuna kozi miezi miwili VETA ukijifunza kwanza itakuwa bora zaidi. Maduka maarufu ya vifaa hivi yapo opposite na sheli ya bigbon kariakoo. Ni vyema ukijifunza kwanza.
Mi naonaga baada ya kuprint wanaikausha Mashine we unafanyaje Ndgu yangu Na machine huna?mkuu mi nilijifunza hiyo kitu muda si mrefu na nimeshaanza kuifanyia kazi, ambacho sijaweza vizuri ni kutegeneza screen zangu mwenyewe, yaani napokea order then nampa mtu ananitengenezea screen then naprint, ningependa kujua kama una namba za simu za hayo maduka, yanayouza vifaa vya screen, rangi na maduka yanauza t shirt mbalimbali nitafurahi, mi niko mkoani