Tanzania ya viwanda ni ndoto

Tanzania ya viwanda ni ndoto

Felix King Zaman

Senior Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
125
Reaction score
117
Tanzania ya viwanda haiwezekani kabisa hata kwa enzi za magufuri. Udikteta haujengi nchi. Wananchi wanafocus vitu vya kiwaki kuliko maendeleo. Yaani asbuhi kila MTU instagram kufwatilia Mange Kimambi akiichana Serikali, kufwatlia bifu za Daimondi na Kiba, Kufwatilia picha za utupu za Amber Lulu...
Haiwezekani kabisa. Kwanza CCM hawana jipya ila udikteta.
[HASHTAG]#MnitekeKamaRomaMkatoliki[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NaendaZimbabwe[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni asilimia ngapi ya Watanzania wako kwenye Mitandao ya kijamii? I mean tuko zaidi ya milioni 40, sasa asilimia ngapi kati yetu wako Mitandao ya kijamii?
 
Karibu 15 % na wengi wao wasomi.... Wasomi ndio nguvu ya taifa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo 15% wanaaishi Tanzania au nje ya Tanzania? Kwa maana nijuavyo mimi Watanzania wenye Umeme hawazidi 14% (mpaka mwaka 2015), achilia mbali hata wenye uwezo wa kutumia computer, hapa naongelea umeme wa kuwasha taa tu!
 
Hahaha nakuelewa mkuuu..So wale mamiliona wa followers walio nao akina Sema wanatoka wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom