Felix King Zaman
Senior Member
- Aug 6, 2016
- 125
- 117
Kinaya ni hio serikali iliyoahidi viwanda na maisha mema ndo inawapa wananchi stressSawa mkuu ila wengine hawana pakutuliza stress za serikali inabidi waingie mtandaoni tu.
Tanzania ya viwanda haiwezekani kabisa hata kwa enzi za magufuri. Udikteta haujengi nchi. Wananchi wanafocus vitu vya kiwaki kuliko maendeleo. Yaani asbuhi kila MTU instagram kufwatilia Mange Kimambi akiichana Serikali, kufwatlia bifu za Daimondi na Kiba, Kufwatilia picha za utupu za Amber Lulu...
Haiwezekani kabisa. Kwanza CCM hawana jipya ila udikteta.
[HASHTAG]#MnitekeKamaRomaMkatoliki[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NaendaZimbabwe[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu 15 % na wengi wao wasomi.... Wasomi ndio nguvu ya taifaNi asilimia ngapi ya Watanzania wako kwenye Mitandao ya kijamii? I mean tuko zaidi ya milioni 40, sasa asilimia ngapi kati yetu wako Mitandao ya kijamii?
Hahaha nakuelewa mkuuu..So wale mamiliona wa followers walio nao akina Sema wanatoka wapiHiyo 15% wanaaishi Tanzania au nje ya Tanzania? Kwa maana nijuavyo mimi Watanzania wenye Umeme hawazidi 14% (mpaka mwaka 2015), achilia mbali hata wenye uwezo wa kutumia computer, hapa naongelea umeme wa kuwasha taa tu!
Hahaha nakuelewa mkuuu..So wale mamiliona wa followers walio nao akina Sema wanatoka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusoma mkuu...Lakini you accept Tanzania ya Viwanda bado ni ndotoHata mimi sifahamu kwa maana siyo mtu wa mitandao ya kijamii, ila kwa kutumia tu mahesabu ya kawaida haiwezekani 15% ya Watanzania wakawa wako online!
Nakusoma mkuu...Lakini you accept Tanzania ya Viwanda bado ni ndoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaitafsiri vipiInategemea kwako Tanzania ya viwanda unaitafsiri vipi!