Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Sio tu kumwaibisha naamini lipo genge lililo amua kumchonganisha na wananchi,akikubaliana nalo,hata awamu iliyotangulia itaweza kuwa na nafuu.Muhimu aendelee na mwendo alioanza nao,kwani Naona dalili mbaya ya mabadiliko ya mwelekeo wa mwanzo.Ni aibu kwa serikali kujivunia kiwanda cha tela 🤣🤣 wakati hata mafundi wa mitaani wanatengeneza bila shida....tunahitaji kiwanda cha kutengeneza magari, injini n.k na sio tela.
Wanamuaibisha My best president mama samia suluhu hassan
Ha ha hah hah ahahahaNi aibu kwa serikali kujivunia kiwanda cha tela 🤣🤣 wakati hata mafundi wa mitaani wanatengeneza bila shida....tunahitaji kiwanda cha kutengeneza magari, injini n.k na sio tela.
Wanamuaibisha My best president mama samia suluhu hassan
kwa kweliSio tu kumwaibisha naamini lipo genge lililo amua kumchonganisha na wananchi,akikubaliana nalo,hata awamu iliyotangulia itaweza kuwa na nafuu.Muhimu aendelee na mwendo alioanza nao,kwani Naona dalili mbaya ya mabadiliko ya mwelekeo wa mwanzo.
Made in Tanzania au assembled in Tanzania?Hivi Super Star Trailers si kiwanda cha Tanzania?
Hivi Simba Trailers siyo kiwanda cha Tanzania?
Super Doll Trailers hivi kipo wapi?
AM Trailers kipo Tanzania?
Wakati wa Quality Motors je hawakutengeneza Trailers?
Ben Bros ni ya wap?
View attachment 1846800View attachment 1846819
Naomba niwekewe hapa viwanda vingine vingi vya trailers na body ambavyo vipo Tanzania. Kuna sehemu nahitaji kuvipeleka kama Case study.