Tanzania ya viwanja haiwezi kuja kwa hii mentality

Felix King Zaman

Senior Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
125
Reaction score
117
I am Kenyan na naipenda Tanzania sana. Kila siku nasikitika na lifestyle ya watanzania. Wakiamka asbuhi insta kusoma udaku na kupesti jamii forums. Kenya we work hard, naamka asbuhi naelekea maabara siku mzima DNA extraction, PCR, elisa na kadhalika na bado sina mshahara( volunteering) .. Huku kila MTU apo bize just to better their CV in his respective career. Something I don't see amongst Tanzanians..Bongo tunapenda Udaku, kuchapia luku za kijanja sijui African Boy n.k. MTU akiwa na 100K followers insta baas hapo ashatoboa maisha.
I LOVE Tanzania but honestly we have a long way to go....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I hope umejipanga kuliongea Povu litakalo toka kwa Mavijanaa kutoka Tanzania....
 
Sasa kama uko bize hayo uliyoyaandika kwenye maelezo yako umeyajuaje?

-Ndumilakuwili-
 
Kuna watu wanaishi na ajira zao ziko huko kwenye Udaku,Kuwaelewa watanzania inahitaji uwe na akili nyingi sana maana kwao kila linalokuja basi huwa linafaida kwao
 
Tz ya viwanja ndyo ipi hyo?
 
Kwa hyo kama wewe ni mkenya ndo umeamua kutuletea Tanzania ya viwanja? Mbona sisi wa Tanzania hatuna hyo plan wala project ya hvyo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…