๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ก๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ก๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ

1_20250112_154327_0000.png

Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane Africa limited (AAL) kinachotengeneza ndege ndogo aina ya Sky leader 600 mkoani Morogoro.

Kiwanda kilianza kazi rasmi mwaka 2024 na hadi kufikia januari 2025 kimefanikiwa kuunda Ndege 5 tayari ambazo zenye uwezo wa kubeba Abiria Wawili.

2_20250112_154327_0001.png

Uwekezaji wa kampuni hiyo kutoka Jamhuri ya Czech umechangiwa na juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan chini ya Falsafa ya 4R.

Kwa afrika ni nchi mbili tu ndo zinatengeneza ndege zake zenyewe ya kwanza Afrika Kusini ikifuatiwa na Tanzania hivyo unaweza kuona vile nchi Yetu inavyozidi kupiga hatua katika maendeleo.

images (2).jpeg

Ndege hizo kwa sasa zinaweza kutumika katika kilimo, kufanya utafiti ulinzi pamoja na utalii.
 
๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ก๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ

View attachment 3199874

Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane Africa limited (AAL) kinachotengeneza ndege ndogo aina ya Sky leader 600 mkoani Morogoro.

Kiwanda kilianza kazi rasmi mwaka 2024 na hadi kufikia januari 2025 kimefanikiwa kuunda Ndege 5 tayari ambazo zenye uwezo wa kubeba Abiria Wawili.

View attachment 3199876

View attachment 3199877

Ni kitu kizuri ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ ila tusije tukaangukia baharini ๐Ÿ˜Ž
 
Aliyeturoga alituweza hasa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Uwekezaji wa kampuni hiyo kutoka Jamhuri ya Czech,
* umechangiwa na juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan chini ya Falsafa ya 4R.*

Huu n uwekezaji wa watu wa czech, Inakuwaje kusema tanzania tumeanza kutebgeneza ndege na kwann tusiseme tumeanza kuunganisha vifaa kuwa ndege?
Samia amechangia shngap au mchango wake upi?

Naomba majibu mleta uzi
 
๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ก๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ

View attachment 3199874

Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane Africa limited (AAL) kinachotengeneza ndege ndogo aina ya Sky leader 600 mkoani Morogoro.

Kiwanda kilianza kazi rasmi mwaka 2024 na hadi kufikia januari 2025 kimefanikiwa kuunda Ndege 5 tayari ambazo zenye uwezo wa kubeba Abiria Wawili.

View attachment 3199876

Uwekezaji wa kampuni hiyo kutoka Jamhuri ya Czech umechangiwa na juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan chini ya Falsafa ya 4R.

Kwa afrika ni nchi mbili tu ndo zinatengeneza ndege zake zenyewe ya kwanza Afrika Kusini ikifuatiwa na Tanzania hivyo unaweza kuona vile nchi Yetu inavyozidi kupiga hatua katika maendeleo.

View attachment 3199877

Ndege hizo kwa sasa zinaweza kutumika katika kilimo, kufanya utafiti ulinzi pamoja na utalii.
Moja wanauza bei gani?
 
Uwekezaji wa kampuni hiyo kutoka Jamhuri ya Czech,
* umechangiwa na juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan chini ya Falsafa ya 4R.*

Huu n uwekezaji wa watu wa czech, Inakuwaje kusema tanzania tumeanza kutebgeneza ndege na kwann tusiseme tumeanza kuunganisha vifaa kuwa ndege?
Samia amechangia shngap au mchango wake upi?

Naomba majibu mleta
Kiwanda hichi kilikuwepo muda mwanzoni ndo walikua wanafanya assembly ya vitu mbalimbali lakini sasa toka mwezi Desemba mwaka jana wameanza kutengeneza kutoka mwanzo mpaka mwisho hapa hapa Tanzania Jamhuri ya Czech wameshirikiana na Serikali ya Tanzania kuna kiwango fulani cha pesa kimetumika kuwezesha huu mfumo.
 
Ebwana ehh,inamaana kuanzia material nk zinatoka hapa hapa

Ova

Shngap zimetumika (leta bank slip) na leta ushahidi wa makubaliano ya kuwa sasa hawaunganishi ni wanaunda mazima.
Tatu: ikiwa ni watanzania hao czech na wazubgu wanafanya k2 gani kwenye picha nikikwambia wabongo ni cheap labour (vibarua) utanipinga kwa ushahidi upi?
Naomba majibu na uthibitisho kwa documents
 
Back
Top Bottom