Sasa hilo linatusaidia nini? Zaidi ya kunyoonya rasirimali zetu na kuendekeza mafisadi wa TFF kupata pesa zaidi.......Tanzania ndio nchi pekee iliyoteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kutoka ukanda wa CECAFA kuwa kituo cha mafunzo ya VAR...
Bila wao tusingejulikanaYaaah mkuu.....pia yanga wapewe maua yao
Soccer gani waboreshe kwa miaka yote wana kosa hata referee moja tu kuenda Afcon au World cup, kiwango chetu cha soka na elimu pamoja na uadilifu bado sanaaItaboresha soccer