Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mtasaini tu hatimaye, huu mchezo hautaki hasira. Keti chini upewe darasa jinsi ngoma inachezwa.
- EAC’s best trade negotiators have handled this discussion for 14 years.
- EPA does not liberalise agriculture, which we all knows covers for 80% of our economic activities
- They also settled for rules of origin that benefit countries depending on their level of development
Kuna mengi ya kujadili humo, muache kujificha nyuma ya kijisababu cha Brexit.
si kweli kwamba Uganda watasaini huo ni uwongo wa media za Kenya! Hamna media za Uganda zilizoandika ukiacha zile za Nationmedia!Ninaweza kukubalina na wewe kuhusu sisi mwishowe kusaini lkn sababu siyo hizo ulizozielezea, bali sababu ni kwamba Wazungu wanashinikiza nchi zinazoendela kusaini EPA na hiki ndicho kilichotokea Kenya, kwa maana Kenya mara ya kwanza walikataa kusaini wakatishiwa na kushinikizwa wakaufyata, sasa hata Rwanda na Uganda ambao mwanzoni waligoma pia wametishiwa na Wazungu hivyo nina wasi wasi na Tanzania yetu pia shinikizo litakuwa kubwa sana kwa Serikali yetu na mwishowe wakasaini kwani kuna sababu kwa nini Kagame na Museveni wako Dar sasa hivi ikumbukwe kwamba hawa ni vibaraka wakubwa sana wa Wazungu, hivyo wanaweza kumtisha Raisi Magufuli kuanzia Museveni kusitisha Bomba la Mafuta mpaka Rwanda kujitoa kwenye SGR project yetu yote haya yanawezekana!
Lakini swali langu, ni kwa nini Wazungu wanshinikiza nchi kusaini kama kweli ni jambo jema kwetu? Ni kwa nini sisi wenyewe tusione kwamba ni jambo jema na kuamua kusaini? Ni kwanini watulazimishe?
si kweli kwamba Uganda watasaini huo ni uwongo wa media za Kenya!
Kagame na Museven wakija Tanzania kuzungumzia EPA ni vizuri Dr. Mahiga akapewa nafasi ya kumuwakilisha rais maana yuko vizuri sana kwenye diplomasia.Ninaweza kukubalina na wewe kuhusu sisi mwishowe kusaini lkn sababu siyo hizo ulizozielezea, bali sababu ni kwamba Wazungu wanashinikiza nchi zinazoendela kusaini EPA na hiki ndicho kilichotokea Kenya, kwa maana Kenya mara ya kwanza walikataa kusaini wakatishiwa na kushinikizwa wakaufyata, sasa hata Rwanda na Uganda ambao mwanzoni waligoma pia wametishiwa na Wazungu hivyo nina wasi wasi na Tanzania yetu pia shinikizo litakuwa kubwa sana kwa Serikali yetu na mwishowe wakasaini kwani kuna sababu kwa nini Kagame na Museveni wako Dar sasa hivi ikumbukwe kwamba hawa ni vibaraka wakubwa sana wa Wazungu, hivyo wanaweza kumtisha Raisi Magufuli kuanzia Museveni kusitisha Bomba la Mafuta mpaka Rwanda kujitoa kwenye SGR project yetu yote haya yanawezekana!
Lakini swali langu, ni kwa nini Wazungu wanshinikiza nchi kusaini kama kweli ni jambo jema kwetu? Ni kwa nini sisi wenyewe tusione kwamba ni jambo jema na kuamua kusaini? Ni kwanini watulazimishe?
Ila Kagame anaonyesha unafiki hajaweka sababu za kusaini EPA! Hamna kitu kinachomfanya alazimike kusaini kama Kenya unless kahongwa!Kagame na Museven wakija Tanzania kuzungumzia EPA ni vizuri Dr. Mahiga akapewa nafasi ya kumuwakilisha rais maana yuko vizuri sana kwenye diplomasia.