Tanzania yaendelea kuporomoka viwango fifa

Soka la bongo sasa linaelekea kusikoeleweka baada ya kuporomoka nafasi ishirini kutoka 107 hadi 127.

The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - FIFA.com

Viongozi wa soka Bongo siyo kabisa toka enzi ya Babu Ndolanga hatuna viongozi wa soka bali manazi wa soka tu wakijinufaisha na mapato ya soka na kujipatia umaarufu tu hata huyu Jamal Malinzi hana lolote kwa maendeleo ya soka letu bali ujiko na kujikweza tu.Mbona tunashiiiiiiida Wabongo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…