joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neno azimio ni neno la kiswahili. Sasa ulitaka tutumie neno ipi la kiswahili isipokuwa neno hilo? Kiswahili pia ni lugha letu so hatujawaiga popote. Sisi tunatumia lugha yetu wenyewe. Hahaha
Umesoma hiyo article yote?, Ninyi wenyewe ndio mnasema kwamba wanaiga Nyerere na Azimio la Arusha, sio Mimi [emoji23][emoji23][emoji23]Neno azimio ni neno la kiswahili. Sasa ulitaka tutumie neno ipi la kiswahili isipokuwa neno hilo? Kiswahili pia ni lugha letu so hatujawaiga popote. Sisi tunatumia lugha yetu wenyewe. Hahaha
"Too late pro max" [emoji23][emoji23][emoji23]Umesoma hiyo article yote?, Ninyi wenyewe ndio mnasema kwamba wanaiga Nyerere na Azimio la Arusha, sio Mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani kaka kama ulikuwa kichwani mwangu! Raila ni disciple wa Nyerere!Umesoma hiyo article yote?, Ninyi wenyewe ndio mnasema kwamba wanaiga Nyerere na Azimio la Arusha, sio Mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe ni chizi au kichaa?, Soma hiyo article walivyoandika, as far as this article is concerned, insane is your colleagues in Kenya a cording to you..Eti Azimio la Arusha ndio eti Azimio La Umoja la Raila?
Nigga are you insane?
Kwahiyo unathibitisha kwamba wakenya mko na shida ya akili sicyi?[emoji23], Kwasababu aliyesema hivyo ni kiongozi/ meanasiasa wenu aliyeripotiwe katika hiyo article [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Next watakuambia Kenya yaiga Barabara ya Morogoro kwa kujenga barabara ya Thika. Hawa watu wana shida ya akili.[emoji1787][emoji1787]
Alitorokea Tanzania akapewa Passport ya Tanzania ndiyo iliyonuwezesha kwenda kusoma Ujerumani, yeye na baba yake wote ni pro-Nyereresim na PLOYani kaka kama ulikuwa kichwani mwangu! Raila ni disciple wa Nyerere!
Oginga Odinga is a much older man than Nyerere. Oginga Odinga was a socialist before Nyerere knew what socialism is. Hivi nani amuige mwengine?Alitorokea Tanzania akapewa Passport ya Tanzania ndiyo iliyonuwezesha kwenda kusoma Ujerumani, yeye na baba yake wote ni pro-Nyereresim na PLO
Even Mzee Jommo Kenyatta was 30years older than Nyerere but one of his cars used struggle time for Kenya's independence was given by Nyerere.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Oginga Odinga is a much older man than Nyerere. Oginga Odinga was a socialist before Nyerere knew what socialism is. Hivi nani amuige mwengine?
Hahahaha, kwahiyo unataka kulinganisha Tanzania na nchi gani hapa Africa katika leadership?, Kenya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania ndio centre ya leadership kuliko kenya?
Tanzania mgombea urais ndio huyo huyo anachagua msimamizi wa uchaguzi?Hiyo ndio leadership au mavi?
Acha uduwanzi wewe
Kenya nchi ambayo viongozi wake wamenyakua ardhi kubwa na kujilimbikizia Mali na kuwaacha wananchi masikini wakitaabika.Tanzania ndio centre ya leadership kuliko kenya?
Tanzania mgombea urais ndio huyo huyo anachagua msimamizi wa uchaguzi?Hiyo ndio leadership au mavi?
Acha uduwanzi wewe
There's nothing like Nyerererism. He was a communist that turned socialist when he realised he had messed big time. Meanwhile Oginga Odinga was a socialist from the word go. In fact, they disagreed with Kenyatta because Kenyatta wanted Kenya to be capitalist while Oginga wanted socialism. Meanwhile, Nyerere wanted Communism, later copied Odinga's socialism and currently Tanzania is copying Kenyatta's capitalism. Now tell me who is copying who?Even Mzee Jommo Kenyatta was 30years older than Nyerere but one of his cars used struggle time for Kenya's independence was given by Nyerere.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Almost all ANC leaders were older than Nyerere including Mandela, but Nyereresim in ANC of the highest level.[emoji23][emoji23][emoji23]
Upumbavu huu
Tanzania ndio hakuna?
Ardhi imeshikwa na wanaCCM
Uongozi umeshikwa na wanaCCM na makabila yake
Wanadamu wengine hatuna chochote...acheni upumbavu
Ahead in terms ofNchi ya dictatorship unaifananisha na kitu gani ndugu?
Nashindwa kukuelewa
Unafananisha awamu ya kwanza ya utawala wa Tanzania au Awamu ya Pili au Awamu ya Tatu au Awamu Ya Nne au Awamu ya Tano au Awamu ya Sita?
Awamu ya Tano ya Magufuli ni dictatorship na ni nonsense
Awamu ya Sita ya Samia ni dictatorship na ni nonsense
As we speak now,Kenya is ahead of everybody else wako mbele huko na akina Ghana,South Africa,etc....
Sisi tumerudi hadi nyuma ya Nyerere tena hadi mbaya zaidi ya hata Ukoloni,we cant teach anybody anything about uongozi now!
Leta ushahidi wacha kelele, hujui kwamba Tanzania ardhi ni Mali ya serikali?, taja kiongozi yeyote serikalini mwenye kumiliki ardhi kubwa Tanzania, Kenyatta family pekee inamiliki 24% ya ardhi yote ya Kenya, Moi na Rutto wameshikilia mashamba makubwa, taja kiongozi yeyote Tanzania mwenye hekari elfu Moja [emoji23] [emoji23][emoji23]Jesus Christ...
Unajitia mnafiki....?
Nenda pale ardhi wakupe data
Mashamba yote makubwa yanamilikiwa na viongozi wa CCM na serikali ya CCM
Nyumba za serikali za Masaki Magufuli waliuziana wao kwa wao matumbo juu
Etc
Wewe huna akili siwezi kujibishana na mtu mjinga Kama wewe, eti "the most democratic country in East Africa", soma hii na uone jinsi ulivyomjinga, Kenya haiwezi pita Tanzania hata siku Moja kwa demokrasia, watu wajinga Kama wewe ndio watadikiliza maneno ya wajinga ya mtaani wakijidanganya kwamba Kenya Kuna demokrasia, punguza ujinga wako.Na ni the 6th biggest economy in Africa
The most democratic country in east africa
Sasa sijui sisi Wabongo tunataka kuongea mavi gani?
Nyie CCM ndio wa kuua kabisa mamaee