Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Mawazo ya njaa hayoHuna lolote wewe pimbi sana, wacha kupanic, wewe umeambiwa Tanzania inaongoza kwa amani, wewe unaingiza kuhusu maendeleo, nani aliyekuambia nchi yenye amani lazima iwe na maendeleo, stupid.
Hutapewa Uhuru wa ndoa ya jinsia moja au kutembea uchi utapigwa,utachakaa.Amani gani wakati hakuna uhuru.
Is that a Mungiki dialect? Kiswahili hujui na kiingereza kuhujui, kunyalander at your best!!Ha hahahahhaha, ujinga ya kitanzania hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stop your stupidity, I have asked you to show us those criteria the way you have scored, that Kenya has been ranked highly in those areas which you have mentioned.
One thing you should accept that, Tanzania is a solid country with well laid foundation, while Kenya is a collection of tribes put together to fight each other.
Uhuru wa kutukana na kutusi watu hatuna[emoji1241]Amani gani wakati hakuna uhuru.
Safiiii[emoji23][emoji23][emoji23]Hutapewa Uhuru wa ndoa ya jinsia moja au kutembea uchi utapigwa,utachakaa.
Wengine tunalazimishwa kutukana, sasa kwa alichosema Lugola ukimtukana kuna dhambi hapo?!Uhuru wa kutukana na kutusi watu hatuna[emoji1241]
Hahaha eti ndoa ya jinsia moja [emoji23][emoji23][emoji23]Hutapewa Uhuru wa ndoa ya jinsia moja au kutembea uchi utapigwa,utachakaa.
Huwezi kahalalisha uovu kutokana na uovu mwingine!Wengine tunalazimishwa kutukana, sasa kwa alichosema Lugola ukimtukana kuna dhambi hapo?!
Lugola amefanya kosa gani?Wengine tunalazimishwa kutukana, sasa kwa alichosema Lugola ukimtukana kuna dhambi hapo?!
Hasi na hasi uleta chanyaHuwezi kahalalisha uovu kutokana na uovu mwingine!
Kumtukana lugola si jukumu lako!
Pia kuhukumu dhambi siyo jukumu lako.
Amekufuru.Lugola amefanya kosa gani?
Alisemaje?Amekufuru.
AMEKUFURUAlisemaje?
Kufuturu ndio nini?AMEKUFURU
Hii haiwezi kuokoa roho zenu.Kinara wa amani![emoji2211][emoji2211][emoji2211] View attachment 1479485
CCM ndiyo itaokoa roho zetu?Hii haiwezi kuokoa roho zenu.