joss1973
JF-Expert Member
- Mar 18, 2010
- 405
- 102
Ripoti ya shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia Elimu sayansi na Utamaduni (Unesco) inasema watu wasiojua kusoma Tanzania hadi kufikia mwaka 2002 ilikuwa idadi ya watu wasiojua kusoma na kuandika ilikuwa watu 6,2milion .idadi hiyo ni kwa watu wenye umri wa miaka 15 na kuendelea ambao ni sawa na asilimia 31,lakini kwa sasa idadi hiyo imeongezeka na kufikia watu zaidi ya milioni 14 .hii inatia aibu sana wadau