.
Hebu jaribuni kutulia vijana,
hapo ulipo muulize mwenzako kama anajua kusoma na kuandika
.
Rekodi nyingine hao huwa wanatoa tu
.
Tanzania ina Takribani watu Milioni 40 kwa hiyo ukiambiwa watu milion 14 hawajui kusoma na kuandika...
.
Ndani yake kuna Vipofu na Viziwi
sasa hao watajuaje kusoma na kuandika
.
Kwa hiyo katika hao watu milioni 14 wanao wasema wao kuwa hawajui kusoma ni Takribani watu milioni kama 2 hivi ambao wanajiweza na hawajui kusoma...
.
Nikiwa na maana Tanzania Vipofu na Viziwi si chini Ya milioni kama 6 hivi......
.
Tanzania ina watu wengi tu wanaojua kusoma lakini keep in you're min you GREAT THINKER
.