Tanzania yaenguliwa Mchezo wa Volleyball kwa kushindwa kutoa ada ya Dola 1,000

Ila bashungwa n muozo Kama
Machungwa ya tanga aisee Yule Yuko Tu kushinda saloon akitinda nyuz
Samia cjui hamuon au ndo kulindana
 
Ila bashungwa n muozo Kama
Machungwa ya tanga aisee Yule Yuko Tu kushinda saloon akitinda nyuz
Samia cjui hamuon au ndo kulindana
Hata Magu hakuwahi kumtumbua kwny Michezo.
 
Fedha zimeelekezwa kuwadhibiti CHADEMA wasidai KATIBA mpya
 
AIBU.
HII Ni baada ya kushindwa kulipia adaya kushikiri kiasi cha dola 1000 za kimarekani na gharama kwa kila mchezaji dola za kimarekani 50.

Habari kamili
The African Volleyball Federation has removed Tanzania from the ongoing CAVB Men's Africa Nations Volleyball Championship for failure to comply with their financial obligations.


Tanzania is understood to have failed to pay $1,000 participation fee and $50 per person per day for the 12 days meant for accommodation.


Statement from CAVB said that the team's removal is in accordance with the Africa volleyball confederation CAVB regulations.


As a result, Tanzania has lost their Group D game against Kenya by forfeiture, and will also not continue playing in the tournament.
 
Sisi tuko katika kumuhangaisha rais kuitangaza nchi kwa gharama kubwa na kuhatarisha afya yake wakati vijana tunao wa kutangaza nchi katika michezo.
Hakuna coordination kati ya Wizara ya Utalii na Wizara ya Michezo.
Duniani hakuna kitu kinachotangaza nchi + vilivyomo nchi hiyo kama michezo.
Ukimuuliza kakangu PK,atakujibu kuwa "Visit Rwanda" imeboost utalii kwa kiwango kikubwa sana.
Sisi watu wa Wizara hizo mbili wanamtuma Mh. Rais SSH ndio atutangazie nchi yetu!
Hapo Wizarani hamna watu wenye uwelewa mpana wa michezo na utalii.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Sasa waporaji wa pesa za walipa kodi ndio mlikuwa nyinyi, hivi hizi nguvu na mawazo kama haya mbona hamkuyafanyia kazi wakati mnakula na kusaza. Nguvu za Watanzania masikini ndio ulikuwa mtaji wenu, waoneeni huruma Watanzania wasio na uwezo kama mliokuwa nao. Huko kulialia CCM etc ni mbinu chafu za ku-divert attention mahali pengine tu.
 

Umetisha mzee kwa kuelezea matatizo ya kiuongozi ya serikali ya CCM pamoja na ilani yake. Ubalozi wetu Kigali pia 'hauna' hela ya kuwakopesha TAVA! Kusapoti juhudi za Mh. Rais Samia S. Hassan kuitangaza Tanzania !
 
Sisi tuko katika kumuhangaisha rais kuitangaza nchi kwa gharama kubwa na kuhatarisha afya yake wakati vijana tunao wa kutangaza nchi katika michezo.
Kuna wanamuziki, wacheza soka, ngumi, mieleka, wakimbiaji nk duniani wanafahamika sana. Bila utambulisho, kuna watu ulaya hawajui Tanzania ni nchi iko wapi, sembuse mama? Pesa hiyo wangelipwa watu 2 mashuhuri ingefanikisha mara dufu.
 
Vipi huu mchezo bona hauna nguvu sana hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…