Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Sudan Kusini wamefuzu kushiriki michuano ya Olympics upande wa wanaume leo 22-7-2024
Miaka 14 iliyopita Taifa hili lilijipatia Uhuru kutoka kwenye mikono ya Sudan ya Kaskazini ile ya Dikteta Al Bashir.
Leo hii wamekabiliana vikali sana na timu ya taifa ya Marekani, inayo ogopwa dunia nzima kama wachawi wa Sumbawanga wanavyo-ogopwa ukanda wa Kusini mwa Afrika.
Niliona wawakilishi wetu Olympics wakipewa “backpacks”, ila sishangai sana, mara nyingi “tunamuachia Mungu”. Tunajivunia uzalendo
.
Sudan Kusini hawana uwanja wa ndani wa kikapu, walau Luol Deng kawajengea mmoja mwaka huu, zaidi timu hii ipo kwenye mikono ya wachezaji wakongwe na wenye uwezo mkubwa.
Tujifunze! Japo ni aibu kujifunza kwa zaidi ya miaka 60.