Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
MATAGA baada ya kukmatwa chini ya kitovu wanahamisha mjadala wa nanii hospitalHakukua na haja ya hii habari kuja kwa style ya ku compare na EA countries.
-Si kweli, kumbuka mwanamke ana akili sana sema akikaa Bungeni kila mwezi ana siku 6 ambazo akili haipo vizuri, yaani "kukpasuka yai-hedhi"Rwanda Kagame kawajaza ili awatawale vizuri hataki kuulizwa ulizwa
mwanamke hawezi kubishana na mwanaume hasa mwanaume akiwa na madaraka-Si kweli, kumbuka mwanamke ana akili sana sema akikaa Bungeni kila mwezi ana siku 6 ambazo akili haipo vizuri, yaani "kukpasuka yai-hedhi"
-anawaza watoto
-Anawaza mume.
-Boss anamtongoza
Unategemea utendaji gani hapo, msituonee
Umekwisha kula ugali wako? Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.Ripoti ya 2021 ya Inter Parliamentary Union imeaonesha Tanzania inongoza kwa kuwa na wabunge wanawake ukilinganisha na Kenya na Uganda. Tanzania ina wanawake 36.7% ya bunge hivyo iko nafasi ya 34 kidunia...
Dr.Gawa-jii-ma, wamjua ama wamjua ama unamsikia?mwanamke hawezi kubishana na mwanaume hasa mwanaume akiwa na madaraka
NamsikiaDr.Gawa-jii-ma, wamjua ama wamjua ama unamsikia?
Anaweza kukusuta mpaka ukalia, akikukata jicho unadondoka, sasa jiulize upate wabunge sampuli yake 20 tu, si itakuwa shida sasa?Namsikia
Naona unawaongelea wamama wa huko uswahilini na sio wamama walioshikilia Institutes kubwa kubwa.mwanamke hawezi kubishana na mwanaume hasa mwanaume akiwa na madaraka
Lile jicho nshawahi kuliona yaani akikukata nalo unaweza kukimbiaAnaweza kukusuta mpaka ukalia, akikukata jicho unadondoak, sasa jiulize upate wabunge sampuli yake 20 tu, si itakuwa shida sasa?
Mbunge kama KEISHA ana kamchango gani bungeniNaona unawaongelea wamama wa huko uswahilini na sio wamama walioshikilia Institutes kubwa kubwa.
Mbunge kama Babu Tale ana mchango gani bungeni?Mbunge kama KEISHA ana kamchango gani bungeni