Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Kwahio wanaoenda mahakamani huwa wanapinga maendeleo?CCM/taifa lina hasara sana kuzungukwa na watu wenye mawazo kama yakoSafi sana ili wapinga maendeleo washughulikiwe vizuri
Wamejitoa mahakama ya Africa na si ya Africa Mashariki ambayo ina makao makuu ArushaMakao makuu ya hii Mahakama ipo Arusha. Nitashangaa sana wakiendelea kubaki kwenye nchi isiyo itambua