joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kuna vitu vingine ni vya kijinga sasa, kuendelea kulikumbatia limzozo la ajabu ajabu hamna mpango cha msingi maisha yarejee normal business should re operate again ma covid yenye ni janja ya waxungu na nampongeza Jaden ameweza kutumia fursa ametumbua pesa za wazungu vi deadly
Lazima tujue nani ndio mkuu hapa EA, lazima kuwepo na nidhamu ndani ya East Africa, kama ambavyo Ujerumani ndiyo yenye sauti ya mwisho katika EU, ndio sababu EU imetulia hakuna mizozo ya kijinga, kama ambavyo USA ana sauti ya mwisho ndani ya G7, vinginevyo mizozo haitokwisha hapa East Africa.Kuna vitu vingine ni vya kijinga sasa, kuendelea kulikumbatia limzozo la ajabu ajabu hamna mpango cha msingi maisha yarejee normal business should re operate again ma covid yenye ni janja ya waxungu na nampongeza Jaden ameweza kutumia fursa ametumbua pesa za wazungu vi deadly
Yaan juzzi nimemtazama M7 kapungua mzee wa watu kweli alikuwa anawaza na kuwazua lkn nikimtazama Jaden ako amenenepa
Nyie sinamsema ni matajiri kuliko sisi, sasa pandeni hizo ndege zenu wenyewe!!! soko lene tumeshaliziba kwa kuongeza route za rwanda air na ethiopian airlines ambazo hawatuweki quaranteen, MASIKINI UNAMGOMEA TAJIRI YAKO POOR KENYANSKuna vitu vingine ni vya kijinga sasa, kuendelea kulikumbatia limzozo la ajabu ajabu hamna mpango cha msingi maisha yarejee normal business should re operate again ma covid yenye ni janja ya waxungu na nampongeza Jaden ameweza kutumia fursa ametumbua pesa za wazungu vi deadly
Yaan juzzi nimemtazama M7 kapungua mzee wa watu kweli alikuwa anawaza na kuwazua lkn nikimtazama Jaden ako amenenepa
ROUTE KARIBIA 30 KWA WEEK TANZANIA HALAFU KUNYALAND ANALETA JEURI HAHAHAHAHAHnyie sinamsema ni matajiri kuliko sisi, sasa pandeni hizo ndege zenu wenyewe!!! soko lene tumeshaliziba kwa kuongeza route za rwanda air na ethiopian airlines ambazo hawatuweki quaranteen, MASIKINI UNAMGOMEA TAJIRI YAKO POOR KENYANS
MY TAKE: Yale matamshi ya Uhuru Kenyatta kwamba Kenya is a democratic country, our media are free we can't hide anything, not like ET other country which puts thing under the carpet", hayakufaa kabisa kusemwa na rais wa nchi tena hadharani, sitegemei kama Magufuli ataruhusi ndege za Kanya kuingia Tanzania hivi karibuni.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
TATIZO mkenya anataka kukinga mafuriko kwa mkono hahahahhahahahaLazima tujue nani ndio mkuu hapa EA, lazima kuwepo na nidhamu ndani ya East Africa, kama ambavyo Ujerumani ndiyo yenye sauti ya mwisho katika EU, ndio sababu EU imetulia hakuna mizozo ya kijinga, kama ambavyo USA ana sauti ya mwisho ndani ya G7, vinginevyo mizozo haitokwisha hapa East Africa.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
TMY TAKE: Yale matamshi ya Uhuru Kenyatta kwamba Kenya is a democratic country, our media are free we can't hide anything, not like ET other country which puts thing under the carpet", hayakufaa kabisa kusemwa na rais wa nchi tena hadharani, sitegemei kama Magufuli ataruhusi ndege za Kanya kuingia Tanzania hivi karibuni.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wakenya bwana na demokrasia yao ya kuiga! Walichosahau Africa tuna utaratibu wetu wa kuishi! Viva magu viva tulichelewa sana! Haiwezekani korona ilipo anzia eti wako vizuri, sisi majirani eti tuna korona, hiyo akili ni sawa na matope!MY TAKE: Yale matamshi ya Uhuru Kenyatta kwamba Kenya is a democratic country, our media are free we can't hide anything, not like ET other country which puts thing under the carpet", hayakufaa kabisa kusemwa na rais wa nchi tena hadharani, sitegemei kama Magufuli ataruhusi ndege za Kanya kuingia Tanzania hivi karibuni.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app