Tanzania yang'ara Japan

Tanzania yang'ara Japan

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Tanzania imekuwa nchi ya mfano duniani, baada ya Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), kuiweka katika mpango wa kuimarisha kilimo cha uzalishaji wa mpunga barani Afrika na miradi mingine mikubwa ya kimkakati ambayo itatumia mabilioni ya fedha.

Japan kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wametoa dola za Marekani milioni 300 za kuendeleza kilimo barani Afrika.

Ili kuimarisha kilimo, Watanzania wanatakiwa kuacha kutegemea kilimo cha mvua ambacho hakina uhakika, bali watumie teknolojia ya kilimo cha umwagiliaji kwani ni rahisi na kinasaidia nchi kuwa na uhakika wa chakula kwa vipindi vyote vya mwaka.

Mafanikio hayo yametokana na ziara za Rais Samia Suluhu Hassan nje ya nchi.
 
23 October 2022
Dar es Salaam, Tanzania

MAHUSIANO YA TANZANIA NA JAPAN
Balozi H.E Mr. Yasushi Misawa wa Japan nchini Tanzania

Source : Channel Ten
 
Tanzania imekuwa nchi ya mfano duniani, baada ya Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), kuiweka katika mpango wa kuimarisha kilimo cha uzalishaji wa mpunga barani Afrika na miradi mingine mikubwa ya kimkakati ambayo itatumia mabilioni ya fedha.

Japan kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wametoa dola za Marekani milioni 300 za kuendeleza kilimo barani Afrika.

Ili kuimarisha kilimo, Watanzania wanatakiwa kuacha kutegemea kilimo cha mvua ambacho hakina uhakika, bali watumie teknolojia ya kilimo cha umwagiliaji kwani ni rahisi na kinasaidia nchi kuwa na uhakika wa chakula kwa vipindi vyote vya mwaka.

Mafanikio hayo yametokana na ziara za Rais Samia Suluhu Hassan nje ya nchi.
Yang'ara kwenye kuanzisha viwanda? Muwe mnatoa hizi hoja mfu humu, eti yang'ara
 
Tanzania imekuwa nchi ya mfano duniani, baada ya Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), kuiweka katika mpango wa kuimarisha kilimo cha uzalishaji wa mpunga barani Afrika na miradi mingine mikubwa ya kimkakati ambayo itatumia mabilioni ya fedha.

Japan kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wametoa dola za Marekani milioni 300 za kuendeleza kilimo barani Afrika.

Ili kuimarisha kilimo, Watanzania wanatakiwa kuacha kutegemea kilimo cha mvua ambacho hakina uhakika, bali watumie teknolojia ya kilimo cha umwagiliaji kwani ni rahisi na kinasaidia nchi kuwa na uhakika wa chakula kwa vipindi vyote vya mwaka.

Mafanikio hayo yametokana na ziara za Rais Samia Suluhu Hassan nje ya nchi.
Lini Samia alienda Japani? Au kusafiri tu kokote tayari mpunga unajilima?
 
Back
Top Bottom