Tanzania yangu, nakependaje

Tanzania yangu, nakependaje

mtupori2010

Member
Joined
Sep 13, 2010
Posts
22
Reaction score
8
NIMESOMA HISTORIA YA UJERUMANI NA JINSI DIKITETA HITLER ALIVYOINGIA MADARAKANI.
1. ALICHAGULIWA BAADA YA KUONEKANA MTETEZI WA MASIKINI.
2. MAMBO MENGI ALIYOFANYA MWANZO WA UTAWALA WAKE YALIKUWA MAZURI KWA WAJERUMANI WA WAKATI HUO WAKAUNGA MKONO JUHUDI HIZO KUMBE WANAJICHIMBIA KABURI.
3. SHIDA ILIKUJA WALIPOANZA KUMTUKUZA NA AKAFURAHIA KUTUKUZWA.
4. AKAWA JEMADARI HASA KAMA ALIVYOTAKA NA ALIVYOISHIA, HAKUNA MWENYE USHAHIDI WA MAUTI YAKE!!!
FUNZO KUU KUHUSU HITLER.
1. HAKUWA MJERUMANI BALI ALIHAMIA KUTOKA AUSTRIA AKAPATA HAKI ZOTE ZA RAIA WA UJERUMANI KWA KUPINGA MAONGOZI YA KIFALME- OTTOMAN EMPIRE!!!
2. ALIWEKA UTAWALA WA KUOGOPWA NA KILA MTU AKIANZA NA WALIOTOFAUTIANA NAYE, WAYAHUDI HADI MATAIFA JIRANI.
3. MATAIFA YALIPOONA HAYUKO SAWA YAKAMKABILI, AKAIBUKA NA VITA YA PILI YA DUNIA.
KWA WANAOTAKA KUJIFUNZA KITU,
"WATAWALA WANAPOTAKA KUHESHIMIWA KULIKO WALIOWAWEKA MADARAKANI NDIO WANAPANDA MBEGU YA UDIKITETA."
Sio mimi nanena haya bali historia inayasema.
Wenye fikra wataelewa, bali wasiokuwa nazo watahangaika na mimi!!!!!
 
Back
Top Bottom