Tanzania Yangu Sikupendi Tena

Tanzania Yangu Sikupendi Tena

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Posts
948
Reaction score
548
unanyoa kipara,unacheza reggae.
unamiliki kibanda,unajiita maulid wa kitenge.
Njaa haikusumbui,uwishi kuomba sege.
stamina Huna,una bonge la utege.
kwa mwanamke umbea sunna,kusutwa ni majaliwa.
Ujanja kujifanya chuma,umenywea kama umefiwa.
Usijipe misifa,ngoja kusifiwa.
Rasta amani,ugomvi nyumbani.
Chakori udaan,sister du mwakani.
Bangi majani,mirungi mtaani.
Ugoro kwa jirani,Teja ni nani?.
Ccm ya zaman,Sare kijani.
Hoja za ndani,zimemuua rubani.
Maji kinywani,akili kichwani.
Watoto jangwani,goma uwanjani.
Injili zaburi,taurat quran.
Shuka begani,kama masai
Muhindi kanji bhai,suti na tai.
Unalia una Cry,kwaheri na bye.
#nimemaliza_Kuteleza.
 
Hizi tungo za kipindi cha makinikia na bombardier Q400 kupigwa mnada...... dah, sizielewi!
 
Back
Top Bottom