Kenya wana utaratibu wa kuwafanyia enterview live kwenye televisions watu wanaotaka nafasi za juu serikalini, kama jaji mkuu, jaji mkuu msaidizi, katibu mkuu n.k,
Natamani cku moja huu utaratibu uje tanzania ili wenye vyeti feki wakafungie maandazi. asante kenya no kupendelea mwenye uwezo ndo anapita