Tanzania yaomba EAC iingilie kati katika kuzuia mipango ya Kenya kujenga bwawa Mara

Haha Hahahahah nenda burundi na rwanda uone walivyodhulumiwa ngombewao, nenda uganda uone wanunuzi wa kahawa walivyodhulumiwa,, nenda zambia uone wafanyabiashara wa mpakani waliovunjiwa vibandavyao, nenda msumbiji uone dhuluma ya korosho wee kaa dar mvua inanyesha
 
Umenena mwenye sikio asikie mwenye jicho aone mwenye akili azingatie
 
Mbona hawafanyi fujo?, hao ndio wastaaarabu, sio Kenya.
 
Where are those jets? Ama you own them in words?
Tanzania owns 14 J-7 Fighter jets, which have got hot spots capable to carry lessar gaided missile, these planes are New and Modern second Generation with Maximum speed of 2200KM/hr, we can easily destroy that dam, if you try to construct it.
 
Mnaishi kwa Amani na majirani ndani jealous kutwa kuwateka raia zako mwenyewe na kuwatesa HEBU ONA AIBU
 
Tanzania kama inateka, basi Kenya inauwa raia wake, kumbuka POLISI wa Kenya wanaongoza Afrika kwa kuua watu hovyo hovyo, unadhani hao watu wanaowaua ni raia wa nchi gani kama sio wakenya?
Unavuna free press ya kenya, hapa huna freedom hiyo , kwa hiyo unafananisha mbwa na mbweha
 
Tanzania owns 14 J-7 Fighter jets, which have got hot spots capable to carry lessar gaided missile, these planes are New and Modern second Generation with Maximum speed of 2200KM/hr, we can easily destroy that dam, if you try to construct it.

Battle za kijinga
 
Fool See the source of Galana
 
Ahaaa haaa haaa
Guys read the laws that govern the riparian rights.
 
Ahaaa haaa haaa
Jukwaa hili ni la facts and figures from credible authority.
Please cite the authority for your assertion.
 
Just post the jets here I want to see them.
Here we go
 
Unavuna free press ya kenya, hapa huna freedom hiyo , kwa hiyo unafananisha mbwa na mbweha
Free press but with high rate of extra judicial killings, where is the logic?. Free press but no peace and security.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…