pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 743
- 1,148
Ni baada ya majirani zetu kudai kuwa bongo hakuna amani na wala hapakaliki sasa kama ulikuwa hujui bongo ndo Kwanza watu wake wana amani tele kuliko hata wanaojisifia kila siku kuwa wana amani kuliko wote katika ukanda huu wa A.Mashariki.Na hizi ni juhudi kubwa za serikali kuhakikisha wananchi wa Tz tunaiishi kwa amani. Pongezi kwa Serikali