pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 743
- 1,148
Hao hao mabeberu waliowasifia kuwa na amani ndio wamesema nyie mpo ndani ya mataifa ambayo watu wake hawana furaha na wanaishi kwa machungu na dhiki, mpo kwenye level moja na Syria. Hivyo ina maana mna amani na dhiki kwa wakati mmoja, hehehe
10 least happy countries are (with 1 being the least happy):
- South Sudan
- Central African Republic
- Afghanistan
- Tanzania
- Rwanda
- Yemen
- Malawi
- Syria
- Botswana
- Haiti
These are the 10 happiest and unhappiest countries in the world in 2019
The world is becoming less happy.www.fastcompany.com
Anzisha uzi tutakuja kuchangia. Lakini sasa is all about PEACEFULNESS; ABSENCE OF DISTURBANCE AND STRESS; SERENITY; CULMNESS; STATE OF BEING TRANQUIL in TANZANIA.
By the way poleni na msiba wa wale 14 waliouawa na Shabab.
Wakisema mnaongoza kwa machungu na dhiki mnalalamika na kuwaita mabeberu na kusema Tanzania inatafutwa, wakiwasifia kuwa na amani mnakenua na kuchekelea, hehehe nyie kituko.
Ahaaa haaa haaa
Watu wenye akili zetu tulishajadili huo uzi wa happiest nini SIJUI kwa mapana
Tukatoa vivid examples. Na tukaona ni njama tu kama za akina the economist.
In real fact, waTanzania are happy people in their country. They fear nothing. Kule hawana shabab, sijui Mombasa Democratic Council au mungiki.
Wako safi kabisa.
safi sana...Ni baada ya majirani zetu kudai kuwa bongo hakuna amani na wala hapakaliki sasa kama ulikuwa hujui bongo ndo Kwanza watu wake wana amani tele kuliko hata wanaojisifia kila siku kuwa wana amani kuliko wote katika ukanda huu wa A.Mashariki.Na hizi ni juhudi kubwa za serikali kuhakikisha wananchi wa Tz tunaiishi kwa amani. Pongezi kwa SerikaliView attachment 1130597