DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
Kama unakazania sijui hamia huko.. ngoja nikupashe. Sasa hivi naishi nchi 3 USA, Kenya, na Tz. USA ni PR, Ni raia wa Tz, na nina projects za investments Kenya. Naelewa Tz na Kenya vizuri zaidi yako.Sitaki maneno hamia kwenye hizo Nchi alafu kanusha kwa facts kwamba yaliyosemwa hapo juu bei ni kubwa kushinda majirani..
Hapo unazidi kuonyesha raha ya Tzn,kama vyakula na nyumba bei ni ndogo huoni maisha yanaendeka bongo?
Nyie watu mnataka nini hasa? Mbona mnadeka Sana?
Ushindwe kuelewa kodi inafanya nini, uende kuelewa tozo, we bure kabisa!Tozo zinashida gani, Shida yenu Chadema mnadhani kiwango cha Uzalendo wa Watanzania ni kama chakwenu,
Watu wameshaelewa manufaa ya tozo na wanachapa kazi,
Hoja yangu ni kwamba watu kama ww.. mnasifia tu bila kufanye deep thinking. Na akili za namna hio ndio za CCM na ndio zimeifikisha Tanzania mahali ilipo ambapo ajira hakuna na kuna mfumuko wa bei kila sehemu, na national debt inakua kwa kazi ya 5G. Sasa endeleeni tu na hizo fikara zenu.DocJayGroup hoja yako ni nini?
Mimi nimekupa exchange rate toka Shilingi ya Kenya,
Hebu soma tena zingatia Exchange rate ni KSH,
Sasa kama vyote hivyo unafanya shida yako wewe na Tzn hasa ni nini?Kama unakazania sijui hamia huko.. ngoja nikupashe. Sasa hivi naishi nchi 3 USA, Kenya, na Tz. USA ni PR, Ni raia wa Tz, na nina projects za investments Kenya. Naelewa Tz na Kenya vizuri zaidi yako.
Post yenu ni kusifia bei za mafuta.. chakula na kodi ya nyumba ni nyongeza yangu tu.. na maisha ni zaidi ya chakula na sehemu ya kukaa.
Mzunguko wa fedha na inflation upoje Tanzania kwa comparison ya maeneo uliyoyataja?Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Africa Mashariki Kenya bei juu |Hongera Rais Samia,
________________________________
Ndio nikasema mtu kama ww unakosa fikra kabisa. Kama mimi maisha ni mazuri lakini jirani wanateseka, raha iko wapi? Furaha ni pale ambapo maisha yako, ya ndg, na majirani yanaenda vizuri.Sasa kama vyote hivyo unafanya shida yako wewe na Tzn hasa ni nini?
Kwa hiyo wanateseka kwa sababu ya nini?Ndio nikasema mtu kama ww unakosa fikra kabisa. Kama mimi maisha ni mazuri lakini jirani wanateseka, raha iko wapi? Furaha ni pale ambapo maisha yako, ya ndg, na majirani yanaenda vizuri.
Nimekuja tu Tz mwezi August, na sijawahi kuona waTz wakilalaamika kama sasa hivi. Yani kila mtu analia shida na wengi wanaomba msaada. Hali imekuwa si hali. Na ndio nikilinganisha na miaka mingine, kweli watu sasa ivi wanapigika kweli kweli.
Usijali.. nitakuelimisha naona ww kweli uko frozen upstairs.Kwa hiyo wanateseka kwa sababu ya nini?
Mabadiliko yanahitajika indeed! Ila most likely mambo yatakuwa mabaya zaidi kabla ya kuanza kuwa mazuri.Mzunguko wa fedha na inflation upoje Tanzania kwa comparison ya maeneo uliyoyataja?
Jobless rate ipoje?
We can do better than this. Nilifanya kuisifia serikali yangu ya CCM last regimes lakini haikuwahi kuacha kuwatwisha mizigo mizito wananchi.
Mabadiliko yapo njiani
Mbona munajidangaya sanaTozo zinashida gani, Shida yenu Chadema mnadhani kiwango cha Uzalendo wa Watanzania ni kama chakwenu,
Watu wameshaelewa manufaa ya tozo na wanachapa kazi,
Hawalalamiki kama WaTz. WaTz wanalalamika zaidi na wanaumia zaidi.Wakenya
Wewe unafahamu inflation rate ya Kenya ni ngapi na Tanzania ni ngapi?Usijali.. nitakuelimisha naona ww kweli uko frozen upstairs.
Ajira hakuna.. kipato hakuna.. na mfumuko wa bei kila sehemu...
Wakenya hawalalamiki?Watu mnaandika tu vitu na kusifia tu pasipo kufuata economic principles. Kwa mshahara wa Kenya ukilinganisha na Tanzania na kipato cha waTz.. hizo bei ziko juu sana. Na ndio maana waKenya hawalalamiki kama waTz .
ππππ ila nyie Watanzania,Unalinganisha mwizi dhidi ya mwizi mwingine. Basi linganisha Tanzania na Zambia ambao wanategemea Bandar yetu.
Hiyo Source yenyewe ni malalamikoWakenya hawalalamiki?
Unaota wewe
Hizi ndio kauli za kiume,Mabadiliko yanahitajika indeed! Ila most likely mambo yatakuwa mabaya zaidi kabla ya kuanza kuwa mazuri.
Mzunguko wa fedha na inflation upoje Tanzania kwa comparison ya maeneo uliyoyataja?
Jobless rate ipoje?
We can do better than this. Nilifanya kuisifia serikali yangu ya CCM last regimes lakini haikuwahi kuacha kuwatwisha mizigo mizito wananchi.
Mabadiliko yapo
Tofauti ya kodi na tozo ni nini?Ushindwe kuelewa kodi inafanya nini, uende kuelewa tozo, we bure kabisa!