Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, diesel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

Malawi na Zambia. Wanaopitisha kwetu bei iko chini. Kuliko sisi lakn mifano hutolewa ya nchi zenye Harufu Harufu ile ile!!
 
Asante sana kwa kutuhabarisha.Unatupa mambo mengi tusioyajuwa.Najivunia kuwa mtanzania.
 
Wewe unafahamu inflation rate ya Kenya ni ngapi na Tanzania ni ngapi?
Inflation rate ya Tanzania NI YA UONGO SANA. Ww fikiria tu mwaka uliopita gesi ndogo ilikuwa shs 17,000 sasa ni 25,000. Mafuya ya kupikia yametoka 12,000 kwenda 19,000. Tozo nyingine zilikuwa 1500 zikaenda karibu 4500, kabla ya kushusha ile 30%. Gypsum board zilikuwa 11000 sasa ni 17,000. Simenti ilikuwa 14,000 sasa ni 18000. Mabati. Vyuma. Kwa hio watu msio na deep thinking ndio mnaambiwa hakuna mfumuko wa bei sababu inflation rate iko chini.. halafu mnaamini kama ambavyo mliambiwa uchaguzi ww 2020 ulikuwa wa haki kabisa na mkaamini.
 


Burundi bei ni zaidi ya ile ya Kenya,

Mafuta yanapanda kwenye soko la dunia,

Tanzania hatuchimbi Mafuta,

Kenya hawachimbi mafuta

Uganda hawachimbi mafuta

Rwanda hawachimbi mafuta

Burundi hawachimbi mafuta

Sote hatuchimbi mafuta,

Kwanini sisi bei yetu ni chini kuliko wengine? Jibu likusaidie kuona nia njema ya viongozi wa Tanzania hasa Rais Samia,
 
Wakenya hawalalamiki?

Unaota wewe
Hawalalamiki kwa level ya WaTz aisee. Mwezi uliopita nilikuwa Kenya wiki 2 na nusu na kuna tofauti kubwa sana ya watu wanavyochukulia maisha Kenya na Tanzania. Tatizo nyie mnapata habari za magazeti wakati watu tumeishi kabisa kujua first hand information.
 
Hujajibu hoja kwanini tusifie bei kuwa chini kwetu, je kabla yake bei yetu ilikuwa juu zaidi ya majirani zetu, kama siku zote bei yetu ni chini kuliko wenzettu kwanini tuanze kupiga kelele kusifu.. Hilo moja,

Kutokuwa tunachimba mafuta ni hoja dhaifu, serikali yako imechukua hatua gani kupunguza gharama za mafuta, kwangu wese na umeme vikiwa juu bidhaa na huduma mbalimbali lazima ziwe Juu, tuna gesi hapa ambayo tunaweza itumia kupata hivyo vyoote, serikali yako imechukua hatua gani?

Pili weka bei za Zambia, congo na burundi kama ulivyoweka za jirani wengine
 
SHIDA YAKO KUMSHUSHA RAIS SAMIA,

HIZI HAPA INFLATION RATE,

👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

  • Tanzania’s annual inflation averaged 3.6 percent compared to Kenya’ 4.4 percent and Uganda’s 4.3 percent, according to data from the National Bureau of Statistics (NBS).



 
Soma vizuri, nimekwambia bei zimepanda pia kwenye soko La dunia,

Unataka mfuta yauzwe 1,700 tutayatoa wapi?

Kuhusu hizo nchi leo nazungumzia EAC,
 
Wakenya wananunua Mafuta Namanga kwa kukwepa bei kubwa Kenya,

HILI NALO HUJUI?

Unataka walalamikeje?


 
Point ya kijinga kuhusu kulalamika. Who cares? Halafu unaongelea wakenya wa border town? Point ni kwamba usisifie Tz wakati hali ni mbaya. Na Rais Samia anaongozwa na wakina Majaliwa na Mwigulu. Wala mimi yeye simlaumu sana. NA WW UTAKUWA DIWANI WA CCM WW. UNATETEA UGALI WAKO. KWENDAAAA!!!
Wakenya wananunua Mafuta Namanga kwa kukwepa bei kubwa Kenya,

HILI NALO HUJUI?

Unataka walalamikeje?
 
Mpiga zumari naujua uchumi kweli au unausikia? Unajua maana ya purchsing power parity? Tusipokufundisha Siku nyingine unaweza kuja na title ya Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya kunyoa nywele Duniani ukilinganisha na Marekani.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…