CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #81
Point ya kijinga kuhusu kulalamika. Who cares? Halafu unaongelea wakenya wa border town? Point ni kwamba usisifie Tz wakati hali ni mbaya. Na Rais Samia anaongozwa na wakina Majaliwa na Mwigulu. Wala mimi yeye simlaumu sana. NA WW UTAKUWA DIWANI WA CCM WW. UNATETEA UGALI WAKO. KWENDAAAA!!!
Asante sana kwa kutuhabarisha.Unatupa mambo mengi tusioyajuwa.Najivunia kuwa mtanzania.
IMpiga zumari naujua uchumi kweli au unausikia? Unajua maana ya purchsing power parity? Tusipokufundisha Siku nyingine unaweza kuja na title ya Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya kunyoa nywele Duniani ukilinganisha na Marekani.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Siyo wewe tu unaefika Kenya!Hawalalamiki kwa level ya WaTz aisee. Mwezi uliopita nilikuwa Kenya wiki 2 na nusu na kuna tofauti kubwa sana ya watu wanavyochukulia maisha Kenya na Tanzania. Tatizo nyie mnapata habari za magazeti wakati watu tumeishi kabisa kujua first hand information.
Siyo wewe tu unaefika Kenya!
Kenya wote tunafika, katika nchi zinaongoza kwa maisha magumu hapa EAC ni Kenya
Tozo zinashida gani, Shida yenu Chadema mnadhani kiwango cha Uzalendo wa Watanzania ni kama chakwenu,
Watu wameshaelewa manufaa ya tozo na wanachapa kazi,
Kwahiyo ulivyokuja bongo 2018 walikuwa hawalalamiki maana ajira zilikuwa za kumwaga sio?Usijali.. nitakuelimisha naona ww kweli uko frozen upstairs.
Ajira hakuna.. kipato hakuna.. na mfumuko wa bei kila sehemu...
Unataka atumie nini?Mbona unatumia nguvu nyingi sana
Sawa soko la dunia yanauzwaje thamani yake kwa lita moja, tia usafiri naa mambo mengine, kodi zoote uchanganue kisha wweekaa hapa mezani tujionee wenyewe.Soma vizuri, nimekwambia bei zimepanda pia kwenye soko La dunia,
Unataka mfuta yauzwe 1,700 tutayatoa wapi?
Kuhusu hizo nchi leo nazungumzia EAC,
Sawa soko la dunia yanauzwaje thamani yake kwa lita moja, tia usafiri naa mambo mengine, kodi zoote uchanganue kisha wweekaa hapa mezani tujionee wenyewe.
Hao wote mafuta yanapita bandari ya salamaNi muongo Burundi na Zambia bei zao za mafuta zipo chini Zaid ya Tanzania na hajawataja
Bajeti ya 2020/2021 ya Tanzania ni zaidi ya 33t ambapo pesa ya matumizi ya kawaida ni zaidi ya 20t na pesa kwa ajili ya maendeleo ni zaidi ya 13t. Sasa kwa bajeti hiyo ambayo pesa ya matumizi ya kawaida ni karibu 80% ya bajeti na 20% ndio ya miradi ya maendeleo hapo kuna nini. Kiuhalisia watanzania hawakatai hizo Kodi au posho ila kinachoumiza ni pesa nyingi zinaenda kwenye mambo yasiomgusa mwananchi moja kwa moja(maendeleo) halafu bado wanawaongezea mzigo mwingine ndio maana karibu miaka yote ya uhuru tunapambana na changamoto zilezileHii Nchi ina watu wanaolia Lia Sana,walalamishi ,wakulaumu na wavivu wa kufikiri sasa ni kuwapuuza wakileta fyoko piga nyundo la sivyo hatutasonga mbele..
Vitozo vya mafuta na miamala vimeletwa kiduchu tuu makelele ya kipumbavu utafikiri hizo pesa zinaenda kwa mtu binafsi wakati Nchi ina matatizo lukuki ya kutatua.
Sio tuu mafuta hadi bando na transactions cost ziko chini kuliko majirani wengine EAC ..
Rudi kwenye mstali wa bei ya mafutaππππ ila nyie Watanzania,
Zambia kweli na Tanzania tutafunye assimilation,
ZASCO wachina wameichukua,
LUSAKA AIR PORT wachina wamechukua
ZABC wachina wameichukua
Sasa kweli unataka kucompare hizi nchi mbili kweli,?!
Watu wazima kama wewe wanalalamika wana sababu
Usijifanye wewe ndio mtu mzima zaidi ya watu wote unawaona watoto wadogo ni wa kupiga nyundo
Huna tofauti nao,infact upo kwenye low IQ percentile zaidi yao
Uongozi sio obvious questions unavamia tu ndio maana ulifeli mitihani yote shule upo humu unaongea umatako wa kupiga wanadamu watu wazima wenzio nyundo as if wewe una wisdom zaidi yao,self annointing lunatic
Matatizo ya jamii sio ya kurukia na ku-solve kirahisi hivyo kwa kupiga nyundo ndio maana mlivamia mitihani wakati unasoma ukafeli yote kabisa
Hawa ni human beings,wanalalamika wana sababu,kupiga nyundo kapige wanao na mkeo huko nyumbani kwako ambapo infact huna lolote ni miserable zaidi ya wananchi wengi tu
Nyumba yako ni hovyo,familia yako ni hovyo,uchumi wako ni hovyo,akili zako ni hovyo halafu upo humu self-annointed genius kuelekeza wananchi watu wazima wenzio wanyamaze matatizo yao..Huna uwezo huo
Na kufananisha nchi zingine na TZ ni kosa,kila nchi ina economic level yake,maisha ya mwananchi Kenya ni ghali kuliko wako,kila nchi ina level za maisha yake,huwezi fananisha bei za bidhaa kote ni sawa
Tanzania kwenyewe unga Mwanza ni bei tofauti na DSM...halafu upo humu unafananisha gharama za maisha za nchi tofauti kabisa zenye economic peggings tofauti kabisa....
Na pia punguza usenge wa kugeuza wananchi ni watoto wadogo unaweza wachapa au kupiga "nyundo" unavyotaka,punguani wewe..kapige wanao na mkeo kwanza maana hata management ya economics of your own house and family unachezea F to begin with!Weka bank statements hapa to deny this
Kwani Zambia ni Africa Mashariki?!Rudi kwenye mstali wa bei ya mafuta
Nakutapa sana kada,
CCM ya Mama kiboko,
Wapinzani hoi mitandaoni,
Mkuu kwa Nchi zinazoendelea kama yetu bajeti ya utawala lazima iwe kubwa,halafu utawala wenyewe sehemu ya hizo pesa zinagharamia elimu,afya,maji nk hivi vitu ni investment kwenye social services return yake ni indirect .Bajeti ya 2020/2021 ya Tanzania ni zaidi ya 33t ambapo pesa ya matumizi ya kawaida ni zaidi ya 20t na pesa kwa ajili ya maendeleo ni zaidi ya 13t. Sasa kwa bajeti hiyo ambayo pesa ya matumizi ya kawaida ni karibu 80% ya bajeti na 20% ndio ya miradi ya maendeleo hapo kuna nini. Kiuhalisia watanzania hawakatai hizo Kodi au posho ila kinachoumiza ni pesa nyingi zinaenda kwenye mambo yasiomgusa mwananchi moja kwa moja(maendeleo) halafu bado wanawaongezea mzigo mwingine ndio maana karibu miaka yote ya uhuru tunapambana na changamoto zilezile