Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, diesel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

HIVI NI TANZANIA IPI WAIZUNGUMZIA MWANAKWETU?
YA KWENYE KARATASI NA KUAMBIWA AU TANZANIA TUNAYO ISHI?
  • NIOMBE PAMOJA NA MAPENZI YA PANDE ZA KISIASA TUSIWE WAONGO.KWANI WATU WA SUMBAWANGA NA RUKWA KWA UJUMLA NI WACHAPA KAZI NA WAKULIMA BORA WA CHAKULA LAKINI KWA KIBURI NA SERIKALI KUWADHARAU WATU WA RUKWA KEKI YA TAIFA HAIGAWANYWI KWA USAWA NA HATA FULSA ZA MAEMDELEO HAZITOLEWI KWA UWIANO.
  • TANGU LINI MWOVU AKAJIPIMA NA MWOVU MWENZIWE?
  • JIPIME MAFANIKIO YAKO NA YULE ALIYE FANIKIWA SIO YULE ALOSHIMDWA TIWE NA AIBU.




- PIA
 
Safi Sana hii alo
 
Umeongea kwa hisia sana mkuu,Ila huu ndio ukweli wenyewe CCM inafanya vizuri Sana,
 
Chadema wanajua hili?
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
 
Haya ndio mambo kama nchi tunataka,
 
Nchi inapaa balaaw
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…