Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, diesel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

Mtangazaji wa wajibu wa serikali kuwa sifa
 
Hii mambo ya kulinganisha na Kenya katika kila kitu yanatuonesha tuna 'inferiority complex'. Mbona Kenya wakitaka kufananisha aidha wanafananisha na Afrika nzima au Ulaya? Katika magazeti ya Kenya utasoma : 'the tallest building in Africa' 'The longest fly-over in East and Central Africa' Hakuna kabisa 'better than Tanzania's'! Ni sisi tu.
Halafu kufananisha bei ya sukari kuwa ni chini au hafifu zaidi Tanzania kuliko Kenya, au mafuta....si kweli. Kwa sababu kipato cha Mkenya ni mara tatu zaidi ya kipato cha kawaida cha Mtanzania, ukitoa wana CCM! Sh 3,000 za Tanzania kwa Mkenya, hata wa kijijini, anaipata kwa kuuza dafu tu. Kama wataka kweli kufananisha lazima ujue pato la nchi. Mafuta Tanzania ni rahisi zaidi kuliko Marekani. Lakini jee, ni kweli Mmarekani anasumbuliwa na galoni ya mafuta kuliko Mtanzania?
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Mkuu Kenya ndio washindani wetu karibu katika kila jambo
 
Tanzania kama speed ni hii basi mpaka 2030 huenda Tanzania ndio ikawa nchi yenye Uchumi mkubwa Africa,Tumwombe sana Mungu wetu katika hili
 
Tanzania kama speed ni hii basi mpaka 2030 huenda Tanzania ndio ikawa nchi yenye Uchumi mkubwa Africa,Tumwombe sana Mungu wetu katika hili
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Mwezetu CM 1774857 maisha yako mazuri sana.Unanyuzi zaidi ya tano wiki hii za kusifia wakati wezako tunawakiwa na jua.
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Mwezetu CM 1774857 maisha yako mazuri sana.Unanyuzi zaidi ya tano wiki hii za kusifia wakati wezako tunawakiwa na jua.
Haya majungu tu mkuu,Sijaandika muda sana kwa taarifa yako
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…