Elections 2010 Tanzania yaongoza kwa vifo vya wanawake na watoto!

Fareed

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2010
Posts
328
Reaction score
135
Wakati CCM imetoa mabango (billboards) zikimuonyesha Rais aliyemaliza muda wake, Jakaya Kikwete, akikumbatia watoto na kina mama huku kukiwa na maneno kama "Watoto Wote ni Wetu," ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa ambayo imetoka wiki wiliyopita inaonyesha kuwa watu 14,000 hufa kila mwaka Tanzania kutokana na matatizo ya uzazi. Hii ina maana kuwa hivi sasa Tanzania ina idadi kubwa ya vifo vya wanawake na kina mama kuliko nchi zote za Afrika Mashariki. Hata Rwanda na Burundi zinatushinda.

Hivi tutaendelea kuteseka na kufa mpaka lini chini ya utawala wa Kikwete na CCM?



 
Kama huduma za afya mijini ni kama hizi unategemea nini?

 
Wakati huo huo, Mama Kikwete anatumia dola 15,000 kwa masaa matano tu (yes, matano tu) kukodi hii ndege na kuzunguka nchi nzima.



Hasira hadi kwenye mifupa:
 


Nichagueni kuwa rais niendelee kugawa pipi kwa watoto. Masuala ya afya na vifo tumwachie mola. Tusonge mbele kwa ari na kasi zaidi...
 
Kwa hisani ya mchungaji masanilo:

Hapa ni hospitali ya mwananyamala. Kilomita chache tu toka ikulu ya Kikwete:

 

wagombea wa upinzani wanapswa kusambaza taarifa hizi kwa wanachi katika kipindi hiki cha kampeni wakionisha na matumizi makubwa ya serikali, viongozi wakuu, mama salama kikwete na ubadhirifuy mwingine mwingi.
 
Huwa najiuliza nakosa jibu! Hivi ni washauri wa raisi ama tatizo ni raisi mwenyewe? Kuna vitu obvious anaweza tilia mkazo kidogo na hali ikabadilika.

I know where my vote is....................
 
Huwa najiuliza nakosa jibu! Hivi ni washauri wa raisi ama tatizo ni raisi mwenyewe? Kuna vitu obvious anaweza tilia mkazo kidogo na hali ikabadilika.

I know where my vote is....................
Revelend umesahau wasemavyo "tell me your friends i'l tell you who you are"? Yeye na washauri wake the difference is the same. Wote hawaoni mbele!
 
Revelend umesahau wasemavyo "tell me your friends i'l tell you who you are"? Yeye na washauri wake the difference is the same. Wote hawaoni mbele!

Unakumbuka yule msemaji wa Kikwete hapa --- Tandaleone --- alivyoanza kupondea kuwa hizi picha sio Tanzania? Jamaa wako out of touch big tyme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…