Tanzania yapanda nafasi nne juu FIFA

Tanzania yapanda nafasi nne juu FIFA

Super Don

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
1,978
Reaction score
1,781
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo December 22 2016 imepotoa good news kwa shirikisho la soka Tanzania TFF, Tanzania leo imepokea taarifa za kupanda katika viwango vya soka vyaFIFA.

Tanzania imepanda kwa nafasi nne katika viwango vya FIFA na sasa itakuwa nafasi ya 156 kutoka nafasi ya 160 iliyokuwa mwezi uliyopita, good news hiyo inakuja baada ya Tanzania kushuka mara mbili mfululilizo.

[https://i1]
 
akili zingine bhana sasa unamuita mod wa kazi gani umekaa ki spy spy au na wewe ni k nini?
We unaona kapost jukwaa sahihi!?

Hivi hicho chako kichwa au bofulo. *****.
 
Tuongeze juhudi zaidi mwaka 2017 tupande ngazi kwa ngazi.
Wadhani hatupendi cha kwetu ? hiyo kheri na kuongeza bidii ndio matamanio ya wengi wetu tatizo blah blah nyingi siasa nyingi hakuna mipango endelevu vipaji kuviibua sio tatizo ila kuviendeleza ndipo tunaposhindwa
 
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo December 22 2016 imepotoa good news kwa shirikisho la soka Tanzania TFF, Tanzania leo imepokea taarifa za kupanda katika viwango vya soka vyaFIFA.

Tanzania imepanda kwa nafasi nne katika viwango vya FIFA na sasa itakuwa nafasi ya 156 kutoka nafasi ya 160 iliyokuwa mwezi uliyopita, good news hiyo inakuja baada ya Tanzania kushuka mara mbili mfululilizo.

[https://i1]
Kwahiyo nafasi ni kama kutaka kufufua mfu
 
Tumepandaje hizo rank nne wakati tunafungwa tu kila kukicha wametumia kigezo gani, au wametumia kigezo cha msamaha
 
Swahiba hata mgonjwa mahututi kuna siku anapata nafuu anakunywa na uji ingawa kwa mila nyingine mtu akiugua sana kisha ghafla akapata nafuu ni dalili ya kuondoka mazima hiyo sasa tusubiri .
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]
 
Fifa wachunguzwe,team imepandaje,imefanya nini?nhii timu ilitakiwa ishee nafasi za mwisho na kina somalia huko na afghanstan
 
Back
Top Bottom