akili zingine bhana sasa unamuita mod wa kazi gani umekaa ki spy spy au na wewe ni k nini?
We unaona kapost jukwaa sahihi!?akili zingine bhana sasa unamuita mod wa kazi gani umekaa ki spy spy au na wewe ni k nini?
we kweli kWe unaona kapost jukwaa sahihi!?
Hivi hicho chako kichwa au bofulo. *****.
Wadhani hatupendi cha kwetu ? hiyo kheri na kuongeza bidii ndio matamanio ya wengi wetu tatizo blah blah nyingi siasa nyingi hakuna mipango endelevu vipaji kuviibua sio tatizo ila kuviendeleza ndipo tunaposhindwaTuongeze juhudi zaidi mwaka 2017 tupande ngazi kwa ngazi.
Kwahiyo nafasi ni kama kutaka kufufua mfuShirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo December 22 2016 imepotoa good news kwa shirikisho la soka Tanzania TFF, Tanzania leo imepokea taarifa za kupanda katika viwango vya soka vyaFIFA.
Tanzania imepanda kwa nafasi nne katika viwango vya FIFA na sasa itakuwa nafasi ya 156 kutoka nafasi ya 160 iliyokuwa mwezi uliyopita, good news hiyo inakuja baada ya Tanzania kushuka mara mbili mfululilizo.
[https://i1]
Swahiba hata mgonjwa mahututi kuna siku anapata nafuu anakunywa na uji ingawa kwa mila nyingine mtu akiugua sana kisha ghafla akapata nafuu ni dalili ya kuondoka mazima hiyo sasa tusubiri .Kwahiyo nafasi ni kama kutaka kufufua mfu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]Swahiba hata mgonjwa mahututi kuna siku anapata nafuu anakunywa na uji ingawa kwa mila nyingine mtu akiugua sana kisha ghafla akapata nafuu ni dalili ya kuondoka mazima hiyo sasa tusubiri .
Huo ukorofi sasa weye umeambiwa tumepanda viwango unauliza kwa lipi ! (jokes )Kwa lipi walilofanya Mwaka huu...??
Umeuliza kwa jazba sanaKwa lipi walilofanya Mwaka huu...??
Teteteteteeee...πππ..hilo linaitaji sababu..kwani tumecheza mchezo gani wa kimataifa unaotambuliwa na FIFA mwaka huu na tukapata points..??Huo ukorofi sasa weye umeambiwa tumepanda viwango unauliza kwa lipi ! (jokes )
True...naona FIFA nao wanaanza kua kama twaweza sasa