Sio kama haikuwa habari njema au hatufurahi kuona timu yetu ya taifa ikipanda rank, lahasha ni kwamba hatuamini katika hilo, matokeo ya mechi nyingi huwa tunafungwa sana...
Pana mdau kauliza kwa mechi gani tulioshinda mpaka tupande ?tuchukulie kama ile game ya Francis cheka aliyopigwa kisha ikatangazwa yeye kashinda ili mambo yaendelee