Tanzania yapata alama ya chini kwa kukosa uwazi kwenye bajeti

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huu ni utafiti ambao hufanywa kila mwaka kwa nchi zote, Tanzania imeorodheshwa kwenye nchi zilizopungua uwazi, hivyo bajeti yake ni ya kukurupuka tu bila mpango wa kueleweka.
------------------------------------

Dar es Salaam. Tanzania’s sharp fall in its scores in the Open Budget Survey (OBS) has triggered calls for a national dialogue on how to rescue the country from haphazard formulation and implementation of budgets.
Stakeholders, who gathered on Thursday during the breakfast debate hosted by the Policy Forum, also expressed their concerns on declining credibility of the national budget and executive tendency of implementing projects without consulting Parliament.

TZ records sharp drop in openness in budget issues
 
hehehe,ngoja waje na mipovuuu😀
 
Tungekuwa tunadaiwa Eurobond, labda ingebidi tuwaonyeshe wanotukopesha matumizi yetu. Vinginevyo tuacheni tusonge mbele.
 
Jibu linajitosheleza
Wakitaka uwazi zaidi
waende wakaone SGR inavyo jengwa usiku na mchana
Bila kusahau Bwawa la kuzalisha Mw 2100
Uwanja wa ndege
pia Ndege ndio hizo zinakuja
Pesa zetu hizo hakuna Mkopo
 
Huu ni utafiti ambao hufanywa kila mwaka kwa nchi zote, Tanzania imeorodheshwa kwenye nchi zilizopungua uwazi, hivyo bajeti yake ni ya kukurupuka tu bila mpango wa kueleweka.
------------------------------------

Dar es Salaam. Tanzania’s sharp fall in its scores in the Open Budget Survey (OBS) has triggered calls for a national dialogue on how to rescue the country from haphazard formulation and implementation of budgets.
Stakeholders, who gathered on Thursday during the breakfast debate hosted by the Policy Forum, also expressed their concerns on declining credibility of the national budget and executive tendency of implementing projects without consulting Parliament.

TZ records sharp drop in openness in budget issues
Hee alama ya chini kwani ni Mtihani?
 
Jibu linajitosheleza
Wakitaka uwazi zaidi
waende wakaone SGR inavyo jengwa usiku na mchana
Bila kusahau Bwawa la kuzalisha Mw 2100
Uwanja wa ndege
pia Ndege ndio hizo zinakuja
Pesa zetu hizo hakuna Mkopo
Bajeti tunajitegemea kwa 100%... Maana unaweza usikope kwenye miradi lakini hiyo miradi, fedha zimekopwa/ tumesaidiwa wakati wa bajeti...
 
Hee alama ya chini kwani ni Mtihani?
Umekariri.....
Nyie ndo wale kwenye kiingereza mnakariri maneno... MFANO, SIKU YA KWANZA UNAFUNDISHWA NENO ... right ... kwamba kwa kiswahili lina maana ya kulia, basi ukiulizwa... IS IT RIGHT? inakuwa shida.. yaani unakesha hapo
 
Aibu tupu,ningependa mambo ya bajeti yawe yanatangazwa kila mwisho wa mwezi,tumekusanya hiki mwezi huu na tumetumia kiasi hiki kujenga Chatto🙄🙄🙄 oops! hii itawatia morale watu wafanye kazi kwa bidii,wakiona Taifa la Chatto linasonga mbele!
 
Jibu linajitosheleza
Wakitaka uwazi zaidi
waende wakaone SGR inavyo jengwa usiku na mchana
Bila kusahau Bwawa la kuzalisha Mw 2100
Uwanja wa ndege
pia Ndege ndio hizo zinakuja
Pesa zetu hizo hakuna Mkopo
Inashangaza sana, utafikiri hao watu wa nje ndio wanaubia na nchi hii. Ni kweli kabisa anayetaka kujuwa bajeti yetu aje tutamuonyesha.
 
Aibu tupu,ningependa mambo ya bajeti yawe yanatangazwa kila mwisho wa mwezi,tumekusanya hiki mwezi huu na tumetumia kiasi hiki kujenga Chatto🙄🙄🙄 oops! hii itawatia morale watu wafanye kazi kwa bidii,wakiona Taifa la Chatto linasonga mbele!
Hakuna serikali duniani ina weka taarifa za kifedha hadharani kila mwezi, pamoja na ugumu wa hiyo kazi, gharama yake kuzitafuta na kuziweka hadharani hizo taarifa inaweza kuzidi bajeti yenywe. Kama shida ni taarifa, wizara zote zina tovuti na kama ukitaka kujuwa kila mmoja wetu anawezo wa kupata taarifa kwa kupitia vyanzo vinavyohusika.
 
Upumbavu nikama huu
Hiyo SGR inajengwa Chato!!
Hizo Barabara Arusha njia 4-6 Imejegwa Chato!
Hizo ndege zinanunuliwa kufufua shirika la Chato
Kila Mwezi TRA walikuwa wakitangaza Mapato Mlikuwa wakwanza kubeza na kuita Kiki leo umeona umuhimu wake!!
Yote na yote Chato si Uganda ni Tanzania kuna Watanzania
hupendi Jinyonge
 
Nyie ndio mnafanya tunaona aibu kujitambulisha ni watanzania........

1.Chato Airport.

2.Chato CRDB branch

3. Chato Referal hospital

4.Chato TRA building

5. Chato stadium project on progress....

yaani ukute una ndugu zako kijijini wanateseka kwa kukosa mambo muhimu kama maji afya,wangeendelea vizuri tu hata kwa kilimo sio ku misuse our resources!
 
Nina uhakika bajeti ya Tz itakuwa $14 b kama mwaka Jana. Povu crew karibuni.
 
Hakuna serikali duniani ina weka taarifa za kifedha hadharani kila mwezi, pamoja na ugumu wa hiyo kazi, gharama yake kuzitafuta na kuziweka hadharani hizo taarifa inaweza kuzidi bajeti yenywe. Kama shida ni taarifa, wizara zote zina tovuti na kama ukitaka kujuwa kila mmoja wetu anawezo wa kupata taarifa kwa kupitia vyanzo vinavyohusika.

sidhani kama wizara ya fedha imeshindwa kuweka taarifa kila mwezi ya mapato,mnaweka siri sababu mna agenda yenu wenyewe,mnataka muendeleze Chato bila watu kupiga kelele nyingi,wananchi wangekua wanainvolved kwa decisions za government,tungeona maendeleo ya kila mmoja,
 
Ikiwa kampuni binafsi zinazo uza hisa wanatowa taarifa zao kila baada ya miezi mitatu na yote hii kwasababu ya logistics, iweje serikali ambayo ina vyanzo vingi na matumizi mengi iweze kupiga hesabu kila mwezi. Sio lazima kupinga kila kitu vingine ni uelewaji tuu.
 
haya mkuu ngoja nikuache,sijaona ugumu wowote wa kufanya kila mwezi kama inawezekana miezi mitatu,
 
Back
Top Bottom