Sijasikilza yote nilipo netwek inasumbua.
Kwanza boss hiyo siyo miondoko ya Pop, ni kama zouk ambayo imeongezwa synthesizers nyingi ila ina tempo ya rege. So hii haiwezi kua pop.
Pili mzee vocal huna. Unategemea sana autotune. Wazia ndiyo unaimba live hii sauti ya kwenye huu wimbo unayo kweli? Fanya mazoezi ya vocal.
Tatu badili jina. Paw Sixs ni nini hiki? Jiite jina rafiki linalotamkika.
Nne aliyekueditia release kava mwambie aache utoto kama ni wewe hebu acha utoto, picha gani hiyo mzee?
Tano chagua nyimbo zinazochezeka ndiyo zikuintroduce, melody ya hii ngoma ni kama unaumwa, mistari easy mno ya kitoto.
With time utakuja kua mkali.