Tanzania yapata Sh trilioni 1 kufadhili programu za kilimo

kilimo kipi? nenda Egypt angalia mapinduzi yao ya Kilimo ndio utaamini kwamba hakuna kitu tunafanya nchi imejaa wasanii tupu kuanzia juu hadi Chini
 
We Bibititi, Hakuna Mapinduzi ya Kilimo nchi hii, Tembelea vyuo vya kilimo Tanzania uone Hali yao ilivyo, Ile ndio picha ya kwanza kwamba hakuna Mapunduzi ya Kilimo Tanzania zaidi ya Hadaaa tupu
 
kilimo kipi? nenda Egypt angalia mapinduzi yao ya Kilimo ndio utaamini kwamba hakuna kitu tunafanya nchi imejaa wasanii tupu kuanzia juu hadi Chini
Unavyoandika unaonesha umelala sana, upo nyuma kweli na uhalisia unaoendelea sasa hivi Tanzania.

Mbona nao ni washirika wetu toka enzi za Magufuli, mama anaendeleza kazi. Hivi unaelewa kuhusu mradi wa bwawa la kufuwa umeme au huelewi, mradi huo wa umeme unafanywa na wamisri na unajumuisha kilimo kando ya mto Rufiji. Hujawaona juzi? Jionee:


View: https://youtu.be/aZeFdWNfj-s?si=Q5rXXri8Z6vdK3l0
Licha ya Egypt, vijana wamepelekwa mpaka Israel wakajifunze. Jionee:


View: https://youtu.be/LMBkd5GOokM?si=y0i1qW_w35cv4jCP
 
We Bibititi, Hakuna Mapinduzi ya Kilimo nchi hii, Tembelea vyuo vya kilimo Tanzania uone Hali yao ilivyo, Ile ndio picha ya kwanza kwamba hakuna Mapunduzi ya Kilimo Tanzania zaidi ya Hadaaa tupu
Hao wanaotoka vyuoni sasa hivi wanaanza kupigwa msasa kwa vitendo katika mpango wa BBT, waone hapo juu post #22

Huu mpango haujaacha kitu.
 
Kwani kile kilimo cha Bashe kimeishia wapi?

Hizo pesa wanazopewa na WB huwa wanazichezea tu, hawana maana hao wapendwa wako.
Pitua uzi uone maendeleo, hiki si ndiyo hicho "kilimo cha Bashe" ni mpango unaoitwa BBT unatokana na falasafa ya mama Samia ya Reform na Rebuilding.
 
Huyo tembo mweupe anayeitwa BBT naona wanaendelea kumnenepesha mwishoni atapotelea kusikojulikana

Na mikopo yote ya wb na afdb tutalipa sisi wakulima wadogo ambao hatukupata chochote kwenye hiyo miradi upigaji ya Bashe.
 
Huyo tembo mweupe anayeitwa BBT naona wanaendelea kumnenepesha mwishoni atapotelea kusikojulikana

Na mikopo yote ya wb na afdb tutalipa sisi wakulima wadogo ambao hatukupata chochote kwenye hiyo miradi upigaji ya Bashe.
Ulijiandikisha huo mradi? Mbona wakulima wadogo ndiyo wanahimizwa sana wajiunge.

Jiandikishe haraka, huo ni mpango endelevu.
 
Ahadi sio pesa mfukoni
 
Bado watu hawajukua tayari kuwa na mipango ya kweli mengj ni mbwembwe za kila awamu!
 
Hizo pesa zitaliwa tu kama zile za Kilimo Kwanza.Bashe na Samia wote hawajui Kilimo na hawajatoka maeneo ya Kilimo.
Ogopa sana mtu anayeongea sana huwa ni aidha tapeli au anaficha udhaifu wake.Hiyo Wizara wangepewa Wanaume kama Lukuvi au Kalemani,Bashe aende Viwanda na Biashara.
 
Hivi 'ufadhili' ni tofauti na mkopo?

Maana imeandikwa as if ni zawadi imetolewa. Ifikie mahali kabla serikali haijafanya maamuzi ya kutilia saini haya mambo yapelekwe kwanza bungeni na hata wananchi tushirikishwe.
Kuna tofauti, mfadhili anakuwa ni mhimili wa karibu kwenye program zako.
 
Huja na kupotea kama upepo ,this is ccm bwana ,kilimo kwanza ilifanya nini?
 
Wewe na wewe acha ujuaji,unakijua Kilimo wewe?Kwa Bajeti gani iliyowekezwa mpaka mzalishe Wakulima Matajiri?Kilimo cha kulima na Jembe ndiyo huwe tajiri?
Kama Mama yupo serious tungeona basi ata ushuru na Kodi wa Agro-machineries kama tractors, Power tillers nk zinaondolewa ushuru kabisa ili ziingizwe kwa wingi na Wakulima wazinunue kwa Bei rahisi.
Vilevile kwenye Uvuvi tungeona Wavuvi wanaletewa meli za Uvuvi Ili waweze kuvua samaki wengi na wakubwa,sasa wanavulia Majahazi na mitumbwi![emoji1787][emoji1787]
Nyinyi watu wa Pwani kazi yetu kupepeta mdomo na kucheza ngoma, Kilimo na nyie wapi na wapi,msituletee siasa za kitapeli.
Kama Mama anataka kufanya Kilimo aamue kwa dhati 10-15% ya Bajeti ya nchi apeleke kwenye Kilimo,Uvuvi na Ufugaji na siyo kutenga Bilioni 900 eti Bajeti ya Kilimo wakati hiyo ni pesa ya kuwapa SUA au TARI kwa ajili ya utafiti.
 
Wacha kukufuru wewe, utamwitaje "baba" ambae hata kuzaa hawezi? Unakwenda kinyume kabisa hata na biblia:

Mt 23:9-12 SUV Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni...

Wewe mwanamke, dini ya Kiislamu haikutambui, soma Tirmid juzuu 1 Hadith 338 inasema Kuna vitu 3 vikipita mbele ya Muislamu anaposwaki vinaweza kukata hiyo sala navyo ni: 1. Punda, 2. Mbwa mweusi, 3. Mwanamke. Hivyo wewe ni nuksi kwa dini ya Kiislamu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…