Tanzania yapata Sh trilioni 1 kufadhili programu za kilimo

Haya mambo makubwa anayo yafanya mama kwa masilahi ya wananchi ndio yanawakera sana na kuumiza nyoyo za baadhi ya watu wachache.
Walitegemea kuwa hatoweza lkn kwa uwezo wa Mungu anasonga mbele tena kwa mafanikio makubwa.
Mungu aiendelee kumlinda.
Hivi ulichokisema chaweza kuwa ni sababu ya raia kumdisapp?

Jambo ambalo haulielewi kwa makusudi ama kwa bahati mbaya ni kwamba "hana meno" na wateule wake kujifanyia wanavyotaka kupelakea maisha ya raia kuwa ni magumu sana kwa sasa .

Sidhani kama kuna mtu ana wivu na utawala wake namna unavyochambua wewe.
 
Hivi 'ufadhili' ni tofauti na mkopo?

Maana imeandikwa as if ni zawadi imetolewa. Ifikie mahali kabla serikali haijafanya maamuzi ya kutilia saini haya mambo yapelekwe kwanza bungeni na hata wananchi tushirikishwe.
Kwa wananchi sawa, lakini si kwenye Bunge hili la kupitisha kila jambo kwa kugonga meza na kelele za ndiyoooooo!
 
Sijawahi shuhudia maendeleo endelevu (sustainable) ya kilimo kunafaisha wakulima wadogo kwa mikopo ya world bank na IMF. Kama kuna mahali kumefanikiwa tujuzane. Bashe inabidi awe makini sana au hizo hela zitazama mifukoni kwa wapigaji itakua historia tu na mwenyewe tutamkumbuka kama mpigaji tu.
 
Makubaliano hayo tangu NCHI UNAPATA Uhuru.

NGOZI NYEUSI INA LAANA
 
Mimi sijawahi kuona pesa za world Bank na IMF za kilimo.

Kama umewahi kuona tufahamishe ni mpango upi?
 
Hizo fedha ni MKOPO
Watuonyeshe masharti ya malipo. Tuone mikataba waliyosaini !!!!
 
Naona watu wakikamilisha miradi yao binafsi! Bongo Raha sana kwa machawa na makuwadi wa ccm
 
Mkiwa huko Israel mujue kuwa hiyo ni nchi ya Ukaburu/Ubaguzi/Apartheid (according to UN)
Waafrika walio huko wanapigwa na kufukuzwa. Nyinyi mkitembea mitaani mtayaona hayo
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Tunaomba utaratibu wa sisi wananchi kunufaika na huo ufadhili.
 
HAKUNA CHA PROGRAMU WALA NINI ZINAPIGWA MCHANA KWEUPE WATU WANAJIANDAA KUTAFUTA PESA ZA UBUNGE
 
Pesa zinaingia mfukoni mwa mtu..., na hatutaona hiyo mifumo ya umwagiliaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…