Tanzania yapata Sh trilioni 1 kufadhili programu za kilimo

vijana wapige jembe sasa huko ndio pesa ziko chungu mzima ni wao kujituma kwa bidii kwani serikali imesha wafungulia njia
 
pia watanzania wasiwe na hofu yoyote chakula kinakwenda kuzalishwa kwa wingi haijawahi kutokea.
shime wazalendo kuinjika usiku kucha tungezeke kwa wingi tufike walau milioni 150 aridhi ni kubwa sana
 
Sijawahi kuwa na imani na motive yoyote ya watawala wa nchi hii. Hapo 20% itaenda huko kuhadaa waliotoa pesa, inayobaki inapigwa.
 
pia watanzania wasiwe na hofu yoyote chakula kinakwenda kuzalishwa kwa wingi haijawahi kutokea.
shime wazalendo kuinjika usiku kucha tungezeke kwa wingi tufike walau milioni 150 aridhi ni kubwa sana
Kuna mataifa ya kuongezeka watu sio taifa hili
 
Hizo pesa mtaniambia kama kweli mkulima wa jembe la mkono kule nyamtumbo atafaidia nazo walau hata laki moja.
Zote hizo zinaingia kwa madalali wa kilimo.
Hizo hazitakiwi kwenda huko maana haitaleta tija . Zinatakiwa kwenda Kwa scale kubwa ya uzalshaji Ili kubwa na tija kubwa na ajira . Mkulima wa member la mkono mwache apambane na hali yake.
 
Afadhal fungu linakuja hilo tupige madili kisawaswa!!
 
Si mnajua lakini kuwa wanawake wanapenda kupewa hela? wazee wa code washanielewa
 
Deni la nje halilipiki bado wanavuta tu. CAG akisema mpunga umepigwa wanapotezea. Raisi CCM, Bunge CCM, Mahakama CCM.

sijui tufanyaje ndugu zangu Watanzania.
 
Inaeleweka 50% itaingia kwenye account za Wezi
 
Mama alisemaga msile sana mtavimbiwa lakini naamini Sasa ndio muda wa kuvimbiwa sasa
 
Faiza Fox kuna kupindi alipotea mpaka ukumbi ukaingia taharuki sasa uwanja ni wake
 
Hao wawezeshaji bhna, wamehsindwa Nini kituma team Yao ije nchini na wasimamie kikamilifua hizo pesa Ili mnufaika alietarajiwa apate.
 
Unafagilia kukopeshwa fedha ambayo mwisho wa siku tutawajibika kuirejesha, ndiyo unaiita kufanya kweli kwa Bashe na Mama Samia? Unasherekea mipango badala ya matokeo? Una uhakika gani kama hiyo fedha haitachepushwa kama ilivyokawaida kwa serikali??

Unazi wako unatia shaka!!
 
Wacha kukufuru wewe, utamwitaje "baba" ambae hata kuzaa hawezi? Unakwenda kinyume kabisa hata na biblia:

Mt 23:9-12 SUV Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni...

Unapomuita Samia mama kakuzaa? Iman yako ya dini usiifanye kuwa Imani ya kila mtu. Unatumia haya za qruan kitabu ambacho kwa wengine sisi hatukiamini. Biblia ipi unayofundisha watu iliyokataza kuwaita watu baba? Jikite kwenye msaafu huku kwingine tuachie wahusika.
 
[emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hii misaada inatia shaka, mbona m7 ananyimwa?

Ukisikia msaada ujue ni mkopo, utalipwa hata na vitukuu.

Nchi haina mvua, hicho kilimo kitalimwa wapi ? Au uwe mkopo wa kutoa maji baharini na maziwani yapoozwe ili yatumike kwenye umwagiliaji.

Bahari na maziwa mmeshauza, hii aibu sijui mtaiweka wapi?

Wengine wako bize kukusanya nguo zao mtaani, yaani bandar zinauzwa wao wanalilia matambara.

Uzeni kila kitu, historia itawahukumu
 
Kiduku anasaidiwa na Nani????

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…