Wamuweke Manara awe controller wa huo mfumoAkizungumza katika mkutano wa 18 wa TFF rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Wallace Karia amesema wamepatiwa mfumo wa VAR Toka CAF ambao utafungwa uwanja wa Benjamin Mkapa.
Pia ameongeza kuwa wanatarajia kufunga mfumo wa VAR katika uwanja wa Amani.
Naunga mkono hojaJana mechi ya Al Ahly na Al Ittad dakika ya 88 Modeste anaingia na dakika ya 90 anatolewa kwa kadi nyekundu
Hili ni tukio ambalo ukiangalia halikustahili kabisa kuamuliwa kwa maamuzi ya straight red card lakini hadi VAR nayo ilihusika kwenye hii dhuluma
Na ndio hapo wakapata advantage ya kuweza kupata bao la kufuta machozi ila bila hivyo wakina Benzema na Kante walikuwa wanakufa tatu bila.
Nilishangaa kunasiku waidadi kasablanka alikuwa anacheza ligi yao ya nyumbani nikakuta wameweka Var kiuwkeli kabisa ilisaidia sana baadhi ya maamuzi yalivyofanyikaLigi kuu Tanzania bara
Bila ya kuwa Atheist Kungwi na Makolokolo SC fan ubongo wako ngekuwa sasa hivi maabara kufanyiwa uchunguzi na Wanasayansi una madini gani hadi uwe na akili zenye akili nyingi sana [emoji142]Jana mechi ya Al Ahly na Al Ittad dakika ya 88 Modeste anaingia na dakika ya 90 anatolewa kwa kadi nyekundu
Hili ni tukio ambalo ukiangalia halikustahili kabisa kuamuliwa kwa maamuzi ya straight red card lakini hadi VAR nayo ilihusika kwenye hii dhuluma
Na ndio hapo wakapata advantage ya kuweza kupata bao la kufuta machozi ila bila hivyo wakina Benzema na Kante walikuwa wanakufa tatu bila.
Kama ni ligi kuu ina maana mechi zote zitachezwa kwenye uwanja mmoja tu?Ligi kuu Tanzania bara
Kwa Tanzania haitasaidia,mpaka marefa wanaokaa kule kwa VAR wataharibuitasaidia maana kuna timu moja inalalamika sana lakini yenyewe inaongoza kwa maamuzi ya kubebwa. Kuna kipindi TFF walikuwa wanaweka waamuzi sita lakini ilikuwa haisaidii kama penati aliyopewa Kisinda baada ya faulo kufanyika nje ya box waamuzi wote waliojaa walishindwa kuona kosa.
Naunga mkono hoja.Hiyo VAR imulike pia vyooni tuone mikojo huwa inajaaje. Itatusaidia kutatua hilo tatizo
Au ile alopewa kagere gemu na yanga kwa yondanitasaidia maana kuna timu moja inalalamika sana lakini yenyewe inaongoza kwa maamuzi ya kubebwa. Kuna kipindi TFF walikuwa wanaweka waamuzi sita lakini ilikuwa haisaidii kama penati aliyopewa Kisinda baada ya faulo kufanyika nje ya box waamuzi wote waliojaa walishindwa kuona kosa.