Tanzania yapewa nafasi kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kikanda Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Afrika

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Tanzania imeendelea kushiriki na kuandaa mikutano ya kimataifa kwa mara nyingine tena baada ya kupewa uenyeji wa mkutano wa kikanda wa mamlaka ya viwanja vya ndege utakaofanyika jiji la Arusha.

Hii ni shughuli kubwa nyingine Tanzania imekabidhiwa kuandaa mkutano wa kikanda wa mamlaka ya viwanja vya ndege ikiwa ni kwa mara ya pili baada ya ule wa mara ya kwanza uliofanyika mwaka 2007.

Tanzania imeendelea kupewa sifa hii ya kuandaa mkutano wa viwanja vyote vya ndege Afrika kwa kuangalia usalama wa abiria, huduma bora na usalama pamoja na idadi ya ndege zinazotua Tanzania na kuvipiku viwanja vingine vikubwa barani Afrika.

Katika awamu hii ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania imekuwa ikiheshimika na kusikilizwa sana na mataifa ya Afrika na wakati mwingine kuchaguliwa kama eneo la kujadili masuala muhimu kama ya amani na upatanisho pamoja na mijadala mikubwa inayoamua mustakabali wa bara la Afrika.

Kwa takribani wiki mbili za mwezi January na Febryary ya mwaka 2025 Tanzania imeshiriki kuandaa mikutano miwili mikubwa ikiwemo mkutano wa Nishati pamoja na ule mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ulio unganishwa na mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika Mashariki kujadili amani masharriki ya Congo.

Kwa Mikutano hii inaonyesha jukumu la Tanzania na umuhimu wake katika diplomasia na masuala ya kimataifa ikiwa ni njia mojawapo ya kuchechemua uchumi wa Taifa.

Chanzo: diramakini
 
Tumewazidi afrika kisini, Ethiopia, Misri na wengineo wote 🇹🇿🇹🇿❤️
 
Chini ya Mama biashara zote Hadi za mikutano zinamiminika.
 
Huu uchawa sasa hapana.., kila kitu Samia Samia, Jamani, mabango kila kona
 
Aisee nyumbu a.k.a haters wa mama Samia sijui Wana Hali gani Sasa baada ya habari hii. Hakika huyu mama mwacheni tu aitwe mama.
 
Back
Top Bottom