#COVID19 Tanzania yapokea Dozi za Chanjo ya Moderna

Hivi kwini kirus cha UKIMWI hakijigeuzi kama hiki? Maana mwaka mmoja tu kimejivuruga mpaka kikawa Delta, Omicron, na nahisi kitakuja kuitwa Omizombi..

Naimba msaada!
 
Inasikitisha sana! Inajulikana wazi chanjo moja haifui dafu!! ya pili haifui dafu! ya tatu almaarufu kama busta haifji dafu maana baada ya miezi 3 tu lazima uchanje busta nyingine!! Ni nani anayeamini kuwa watanzania wakikubali kuchanja wote serikali itamudu kugharimia chanjo zote hadi busta kwa miezi mitatu mitatu kwa maisha yao yote? Kama tunajua hatuwezi kumudu kwa nini tunaingia gharama ambayo haitatusaidia? ni upotevu wa rasilimali, na huko mbele ya safari lazima tuwajibishane!!
 
Kwa sasa kila wiki nitatengeneza chanjo ya NIMRI ninywe..

1. Kitunguu maji kimoja

2. Vitunguu saumu

3. Pilipili kichaa

4. Limao

5. Maji moto

Hii ni inaimarisha kinga ya mwili na haina mambo ya kuboosti na kuchoma sindano!
 
Waliochanja hawana akili nzuri[emoji16]
Mtu labda huna hata kibanda cha kuku lakini bado unawaza watu wamekaa na kutumia hela nyingi ili wapange kukuua wewe. Nadhani wasiona na akili nzuri wanajulikana 🤠
 
Hii chanjo Si ndo uko Zanzibar mashehe waligomewa airport KWENDA hija eti haitambuliki kimataifa.

Na raisi wao nae akaja hadharan kuomba radhi[emoji848]
 
Mtu labda huna hata kibanda cha kuku lakini bado unawaza watu wamekaa na kutumia hela nyingi ili wapange kukuua wewe. Nadhani wasiona na akili nzuri wanajulikana 🤠

Wewe tajiri mwenye nyumba ya ghorofa umeweka geti kubwa na ukuta umezungushia umeme against what?!!…wakati umezungukwa na maskini…

Mpaka vichwa viamke tunasafari ndefu…
 
Wewe tajiri mwenye nyumba ya ghorofa umeweka geti kubwa na ukuta umezungushia umeme against what?!!…wakati umezungukwa na maskini…

Mpaka vichwa viamke tunasafari ndefu…
Inawezekana siko kwenye hilo ghorofa na labda ni huyo maskini lakini ninaelewa hamna Logic ya hao wanaosemwa kuwa wamepanga kutuua kufanya hivyo na tena kwa style hii yenye kuwaangamiza na wao pia. Kwa ufupi, hoja nyingi za wapinga chanjo ni za kijinga sana.
 
Walete walete ila watoe maelezo yaliyonyooka chanjo ni kinga au inasaidia unapopata ugonjwa usiumwe sana?

Bado nabaki na msimamo wangu wa kutochanja mpaka nijiridhishe.

Swali langu ni moja. “Mpaka nijiridhishe” ina maana gani, kuna utafiti unafanya? Au unategemea hawa hawa wanaosema inazuia vifo, kulala hospitali?? Au watakapofikia kusema “sasa inazuia maambukizi” ndio utacbukua uamuzi? Bado sijaelewa “kujiridhisha” umemaanisha nini.

Tusaidie kuelimika kuhusu jambo hili. Ahsante!
 
mi mwenyewe siwezi kukaa karibu na mtu aliyechanja kwa muda murefu maana najua muda wowote kuna hatari ya kugeuka zombi...
Ugeuke zombi mara ya ngapi
 

Kachanje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…