Bon Wambura katangaza kupitia RFA kuwa Poulsen hajui jinsi timu inavyopanda ranking ya FIFA, hivi huyu Babu anatufaa kwa lipi? Tangu aingie hapa nchini timu haijawahi kupanda nafasi yoyote zaidi ya kushuhudia mporomoko kila FIFA wakitoa ranking table. Heri ya Maximo aliyelaumiwa sana kuwaacha wachezaji wenye majina na kutumia vijana tulipanda hadi nafasi ndani ya 100 bora. TFF mfukuzeni Poulsen, tell him FINITO!