MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kikao cha marais Uhuru na Magufuli kinazidi kuzaa matunda maana sasa Tanzania imeshusha gharama ya vibali vya kazi kutokea 202,000Kshs au Tshs 4,000,000 hadi Kshs 50,000 au Tshs 1,000,000
Hii ni hatua chanya na muhimu hususan kwa makampuni ya Tanzania ambayo hufuata wafanyi kazi wa kutokea nchi jirani. Maana wao ndio huingia gharama zote hizi. Unakuta kampuni inakulipia gharama ya usafiri, hoteli na pia vibali vya kazi. Hivyo nahisi makelele yatapungua pakubwa.
Kingine ambacho kimefurahisha ni gharama ya kufungua biashara Tanzania kwa watu wa EAC, pia imeshushwa pakubwa.
Hongereni kwa hilo, tutasija tu.
Tanzania has ignored calls to scrap work permit fees for residents of the East African Community (EAC) and has instead cut the charges to Sh50,500 per year.
Dar cuts work permit fee for Kenyans to Sh50,500

- Tanzania has slashed residence permit fees to Sh50,500 from Sh202,000 for EAC citizens seeking to stay and work in the country.
- President Uhuru Kenyatta last month asked Tanzania to waive the work permit charges and honour the EAC Heads of State deal that sanctioned free movement of people, goods, services and capital.
- Kenya, Rwanda and Uganda have waived the work permit fees but Tanzania and Burundi are yet to ratify the deal.