Tanzania yaruhusu Magari ya Kenya kuingia Tanzania baada ya Kenya kuipigia magoti

Hii ni kujaribu kuficha aibu ya kiherehere chenu. Hakuna aliyewapigia magoti, mmefunga na mkafungua wenyewe baada ya kugundua ni nyinyi mnaoumia.
 
Hii nchi ina laana yaani kila siku wao wana migogoro na kila jirani, utasikia Kenya ipo kwenye mazungumzo ya kumaliza tofauti zake na Somalia Mara Sudan mara Ethiopia Mara Uganda hawako in good terms na jirani yeyote na wala hawana jirani yoyote ambae deep down in their soul they may count him as naturally and effortless a close friend hawana mpaka Dunia inaingia kaburini

Wamebaki kujibaraguza tu kwa Tanzania lakini uzuri wanajua hatunaga time nao.
 
Ivi kumbe gari za kenya zilikuwaa na zuio la kuingia Tz.
 
Hii ni kujaribu kuficha aibu ya kiherehere chenu. Hakuna aliyewapigia magoti, mmefunga na mkafungua wenyewe baada ya kugundua ni nyinyi mnaoumia.
kwani hiyo citizen tv ni ya Tanzania?huyo mjumbe maalum kafuata nini?mkitingisha sisi tunamwaga
 
I wish hii border ya TZ na Kenya wangejenga ukuta ka kuseal kabisa. Huwa hatupendani kabisa. The feeling is mutual.
 
Hii nchi ina laana yaani kila siku wao wana migogoro na kila jirani, utasikia Kenya ipo kwenye mazungumzo ya kumaliza tofauti zake na Somalia Mara Sudan mara Ethiopia Mara Uganda hawako in good terms na jirani yeyote na wala hawana jirani yoyote ambae deep down in their soul they may count him as naturally and effortless a close friend hawana mpaka Dunia inaingia kaburini

Wamebaki kujibaraguza tu kwa Tanzania lakini uzuri wanajua hatunaga time nao.

Hawa jamaa hata wao kwa wao tu hawaelewani nadhan ukabila walio nao ni sumu kali wanaipeleka mpaka kwa majirani zao
 
Kenya is a big market ndio maana Waganda wanalia waruhusiwe kuuza bidhaa zao huku.
 
Back
Top Bottom