joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
kwani hiyo citizen tv ni ya Tanzania?huyo mjumbe maalum kafuata nini?mkitingisha sisi tunamwagaHii ni kujaribu kuficha aibu ya kiherehere chenu. Hakuna aliyewapigia magoti, mmefunga na mkafungua wenyewe baada ya kugundua ni nyinyi mnaoumia.
Hii nchi ina laana yaani kila siku wao wana migogoro na kila jirani, utasikia Kenya ipo kwenye mazungumzo ya kumaliza tofauti zake na Somalia Mara Sudan mara Ethiopia Mara Uganda hawako in good terms na jirani yeyote na wala hawana jirani yoyote ambae deep down in their soul they may count him as naturally and effortless a close friend hawana mpaka Dunia inaingia kaburini
Wamebaki kujibaraguza tu kwa Tanzania lakini uzuri wanajua hatunaga time nao.
Jayden amefata nini Congo?Kenya is a big market ndio maana Waganda wanalia waruhusiwe kuuza bidhaa zao huku.
Mnachelewa, mwambie mama avunje tu, kwani vipi! 🤣Hio nchi nadhani tuvunje uhusiano nayo siipendi kama nini of course ni wengi tu Tz hatupendi kenya hii ni kutokana na Ego yao