Tanzania yasalimu amri kwa Uganda pia, kila dereva lazima apimwe, hamna kucheka cheka

Tanzania yasalimu amri kwa Uganda pia, kila dereva lazima apimwe, hamna kucheka cheka

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Duh! Kumbe Watanzania walikua wamenunia na Waganda pia, hawa wenzetu diplomasia imewashinda, sasa ni mwendo wa full migogoro na majirani wote.

Hii ni baada ya Tanzania kusalimu amri kwa Kenya na kukubali madereva wake kupimwa na Wakenya, sasa imetangazwa hata kwa Uganda mwendo ndio huo huo, safi sana Waganda, tuwe makini sana ukanda huu, yeyote anayeng'ang'ania kuingia kwenye mataifa yetu lazima apimwe, tukicheka na hawa tutakuja kujuta maana kwao wamejichokea.

Tuliposisitiza kupima, nilishangaa eti mkuu wa wilaya anafunga mpaka, yaani kwa Tanzania kila kiongozi anaweza kubwatuka lolote, hamna kichwa, yaani mkuu wa wilaya ni mtu mwenye uwezo wa kufunga mpaka, madaraka ambayo yanapaswa aidha rais, waziri mkuu au ikibidi sana waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa.

Hawa Watz likija kwa diplomasia wameangukia pua kabisa, na ndio maana hata uchaguzi wa juzi wa UNSC wamejikuta pekee yao kwa waarabu, mataifa ya SADC na EAC yameungana na kuwa kimoja na kupigia Kenya kura nyingi sana hadi za kumwaga, Tanzania imeachwa yenyewe na waarabu huko.

======

Movement of trucks resumes at Tanzania, Uganda border

By Zephania Ubwani

Arusha. Movement of car-go trucks has finally resumed across the Tanzania/Uganda common border after weeks of uncertainty following brawls over Covid-19 test for truck drivers.

The move follows a consensus reached by the two neighbours after cross border movement was disrupted by Covid-19. Truck drivers will, nevertheless, undergo mandatory Covid-19 tests in line with the East African Community (EAC) guidelines.

The guidelines were enforced across the region as among the restrictions to curb the spread of the killer virus.
However, the restrictions imposed to tackle trans-border spread of the disease only wanted minimal disruption of cross border trade.

William Mkenda, a customs officer in charge of the Mutukula border post in Tanzania, said the two countries have agreed on mandatory Covid-19 tests.

He revealed this on Thursday when briefing the EAC deputy secretary general in charge of Planning and Infrastructure Steven Mlote, who visited the border area.

The EAC delegation led by the deputy SG was at Mutukula to make an assessment of traffic movement in the wake of Covid-19 outbreak, blamed for dealing a major blow to economic activities.

The team from the Arusha-based regional organization is expected to review the progress of the joint efforts by Tanzania and Uganda to ease congestion at the border crossing.

Mr Mkenda informed the deputy SG that the Covid-19 testing requirements for truck drivers were meant to ensure that health risks associated with the coronavirus were mitigated.

The EAC delegation also met and held discussions with the truck drivers at the border in a bid to assess the challenges encountered when crossing the border.

During the discussions, some of the drivers registered their dissatisfaction with the way they were treated in implementing new measures put in place to combat the spread of the coronavirus.

Mr Mlote told the truck drivers that ministers and Permanent Secretaries responsible for Trade, Health and EAC Affairs have held meetings and issued guidelines on how the truck drivers should be facilitated on their cross border operations as Partner States enforce measures to fight Covid-19.

The DSG emphasised the need to sensitize people against stigmatization of Covid-19.“Parameters have been set, places where the testing should take place and modalities of how it should be carried out has been agreed upon by the Partner States’ governments. It is only implementation that is varying from one country to another,” he said.
He disclosed that EAC issued administrative guidelines for uniform implementation of measures to allow free movement of cargo as envisaged under the EAC Common Market Protocol.

“The EAC Secretariat has been at the forefront of ensuring that the region is prepared and ready to deal with epidemics, pandemics, disasters and events of public health interest.

Source: The Citizen
 
Je, nyinyi mmeruhusiwa kuingia Ug?
Watanzania mnawapima, majibu yanatoka aftr 14 days, afu the irony, wanaruhusiwa kuingia kenya bila majibu kutoka, sasa hapo mmefanya nn.
 
Je, nyinyi mmeruhusiwa kuingia Ug?
Watanzania mnawapima, majibu yanatoka aftr 14 days, afu the irony, wanaruhusiwa kuingia kenya bila majibu kutoka, sasa hapo mmefanya nn.

Sisi haijatokea siku tukataka kulazimisha kuingia Uganda au nchi yoyote bila kupimwa, tumesema mara kadhaa sasa kwamba Mkenya anayetaka kuingia kwenye nchi ya watu lazima akubali kusalimu amri, sio kama nyie waganga njaa mnalialia mruhusiwe kuingia bila kupimwa, mumekua aibu ya Afrika nyie watu.

Ona hapa mnavyotia aibu kwenye mpaka wa Zambia, hovyoo kabisa, mpite bila kupimwa, haitotokea, lazima mpimwe maana kwenu mumejichokea full corona.

2396251_20200511_100332.jpg
 
Unatamaani inchi yako iwe na nguvu lakini wapi hahahaha, ktk ukanda huu hakuna hata nchi moja inayoweza kubadili mcmamo wa awali wa Tanzania. TZ ikishasema msimamo huu bc utake uctake utaufata tu, sasa mulikataa nini mumekubali nini?. Mulikuwa hamtaki kutanbua vyeti vya korona vya TZ sasa hv mumerudi kwenye makubaliani munatambua vyeti vya Kenya sasa hapo nani kasalimu amri au hauelewi maana ya neno kusalimu amri? Ukitaka kumtawala mtu kwa urahisi bc mtengenezee mazingira ya njaa tu bc utamfanya kama toi.
 
Tuliwanyima kura ya UN pia![emoji2211][emoji2211][emoji2211]

Na mkaangukia pua, mlishindwa kwa kura nyingi sana tena za kumwaga, SADC na EAC waliongea kimoja mkaachwa mkilamba waarabu pekee yenu, bure kabisa.
 
Kapicha ka kipindi kilee badogo umekatunza tu.Walishaingiaga wote hao!
 
hawa wazee wa djibouti kazi kweli kweli dah!😂
 
Wanandhani kila nchi Zambia. Huku East Africa I don`t if they can even threaten Burundi. Juzi walisalimu amri Kenya jana sasa imekuwa Uganda.
 
Wakenya ndo hamuelewani na Uganda hadi mnalazimisha violence.. Mna bifu na Somalia, Ethiopia, Uganda, Tz yaani majirani zenu wote.Ndo maana kura mmepewa na mmoja tu kati ya hao.
Ungejiuliza kwanza hao nyang'au wenyewe kwa wenyewe wanapatana hadi waanze kupatana na majirani zao
 
Ni wapi kwenye hiyo habari ya The Citizen pameandikwa kwamba madereva wa Tanzania watapimwa Uganda au Kenya? Au lengo lako lilikuwa tu kulalamika kwamba Tanzania haijaipigia kura Kwnya huko UNSC?
 
Hatuna ugomvi na Uganda. Uditafute chokochoko.
Tatizo lilikuwa Rwanda na Kenya.
You are so desperate.
 
Na mkaangukia pua, mlishindwa kwa kura nyingi sana tena za kumwaga, SADC na EAC waliongea kimoja mkaachwa mkilamba waarabu pekee yenu, bure kabisa.
unaifahamu SADC wewe? Tanzania ndiye mwasisi wa SADC kama unaakili utanielewa nina maana gani!
 
Sisi haijatokea siku tukataka kulazimisha kuingia Uganda au nchi yoyote bila kupimwa, tumesema mara kadhaa sasa kwamba Mkenya anayetaka kuingia kwenye nchi ya watu lazima akubali kusalimu amri, sio kama nyie waganga njaa mnalialia mruhusiwe kuingia bila kupimwa, mumekua aibu ya Afrika nyie watu.

Ona hapa mnavyotia aibu kwenye mpaka wa Zambia, hovyoo kabisa, mpite bila kupimwa, haitotokea, lazima mpimwe maana kwenu mumejichokea full corona.

2396251_20200511_100332.jpg
Maelezo meeengiii... Nilidhani hamsalimu amri...
Ya kyusalimu amri kwa Tanzania imekuwa stori kwako, wakati KUSALIMU AMRI KWA KENYA UNAONA KAWAIDA TU...

Kweli mlima kilimanjaro upo Kenya
kweli Mbwana Samata ni Mkenya
 
Maelezo meeengiii... Nilidhani hamsalimu amri...
Ya kyusalimu amri kwa Tanzania imekuwa stori kwako, wakati KUSALIMU AMRI KWA KENYA UNAONA KAWAIDA TU...

Kweli mlima kilimanjaro upo Kenya
kweli Mbwana Samata ni Mkenya

Amri lazima usalimu unapoingia kwenye taifa huru la watu, huko sio kwenu, wala hakuna mfupa wa babu yako umezikwa huko, unaingia siku zako zikiisha unatoka nduki wala isipite hata lisaa moja, hivyo lazima ufuate wanachoamrisha, kama hautaki baki kwenu na njaa zako.
Mkenya anayengia Tanzania, Uganda au hata Somalia kule kwa mabomu, lazima akubali wanavyomuagiza, vivyo hivyo kajamba yeyote anayekuja kwetu.
Kawaida yangu nikija Tanzania huwa nipo kimya muda mwngi hata nikitembelea vijiweni, huwa nawaskliza tu kwenye porojo zao bila kuchangia, labda pale wataanza kubishana kwenye mambo ya kawaida yasiyohusu siasa.
 
Naona umekimbia thread ya battle unakuja kijimwambafai hapa na avatar umebadilisha
 
Back
Top Bottom