Tanzania yashika mkia mashindano ya Kikapu Afrika

Tanzania yashika mkia mashindano ya Kikapu Afrika

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
3,921
Reaction score
4,858
Timu ya mpira wa kikapu ya Tanzania imefungwa mechi zote kule UGanda kwenye mashindano ya Kanda ya tano afrika.
Kenya ilishika nafasi ya kwanza,ikifuatiwa na Misri, Uganda, Rwanda na mwisho Tanzania.
Raisi wa shirikisho la Mpira wa kikapu Tanzania alitoa sababu nyingi zilizochangia matokeo mabovu ikiwemo maandalizi duni
 
[emoji45] [emoji45] [emoji45] Daah!! hii nchi kila mahali miyeyusho tu

Smart guy
 
Back
Top Bottom