Timu ya mpira wa kikapu ya Tanzania imefungwa mechi zote kule UGanda kwenye mashindano ya Kanda ya tano afrika.
Kenya ilishika nafasi ya kwanza,ikifuatiwa na Misri, Uganda, Rwanda na mwisho Tanzania.
Raisi wa shirikisho la Mpira wa kikapu Tanzania alitoa sababu nyingi zilizochangia matokeo mabovu ikiwemo maandalizi duni